Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote
IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee.
Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa Kata ya Isakamaliwa. Aidha Mhe. Ngassa (MB) ametumia majadilinao ya Wazee kutoa elimu juu ya Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.
Wazee wa Kata ya Isakamaliwa Wamempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusaini Mswahada wa Bima ya Afya kwa Wote na kuwa Sheria.
#KAZI NA MAENDELEO
#KAZI IENDELE
#MAMA SAMIA KAZINI
#MITANO5TENA
-
WhatsApp Image 2023-12-25 at 16.43.44.jpeg
473.6 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-12-25 at 16.43.45.jpeg
613.6 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-12-25 at 16.43.45(1).jpeg
901.3 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-12-25 at 16.43.46.jpeg
832.3 KB · Views: 1
-
WhatsApp Image 2023-12-25 at 16.43.47.jpeg
670.2 KB · Views: 1