Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam ya PEOPLES........,.....POWER

PJ hizo ni dalili tu nadhani J2 ndiyo itakayotoa majibu ya hekaheka hizi maana kuna dalili ya kuchoka na vitimbi hivi. Igunga Igunga ghafla umegeuka kuwa lulu machoni pa watanzania kama ungelikuwa binadamu!!!!Whether Helicopter or Infantria, what we actually need is chemical change in the minds of people of Igunga!
Chanting and crowding are all phyisical changes!...
wakora waitu
...mkuu mi cjui kisukuma!!