Elections 2010 Igunga: Mbowe atua na Helkopta

Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam ya PEOPLES........,.....POWER

Naona umeamua kujibu mapigo baada ya kuulizwa kama wewe ni msemaji wa ccm na ccm-b.
 
Mbona jp2 haifiki ili tufunge hesabu ya sarakasi za igunga na kuwaonesha magamba kuwa hira zao hazijasaidia sana wawashukuru tume kwa kuwapa muda wa kutufanyia fujo . Halaaaaaaaaaaaaa CDM
 
Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam ya PEOPLES........,.....POWER

VIVA CHADEMA...Ukombozi unakaribia Igunga na Tz kwa ujumla
 
Kama una upo eneo la tukio pls picha ni ushahidi kuliko maneno, mtafute Nanyaro yupo eneo la tukio.
 
Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam ya PEOPLES........,.....POWER

Walikuwa wanashanga Helkopta hao.
 
Whether Helicopter or Infantria, what we actually need is chemical change in the minds of people of Igunga!
Chanting and crowding are all phyisical changes!...
PJ hizo ni dalili tu nadhani J2 ndiyo itakayotoa majibu ya hekaheka hizi maana kuna dalili ya kuchoka na vitimbi hivi. Igunga Igunga ghafla umegeuka kuwa lulu machoni pa watanzania kama ungelikuwa binadamu!!!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom