Elections 2010 Igunga: Mbowe atua na Helkopta

Kwa hiyo leo Igunga kuna helikopita 4 kwa hesabu za haraka haraka 2-magamba, 1-CDM na 1-CUF, well done! but wasukuma wenzagu kwa pombe za bure sijui kama kuna la maaana. Hope this is the good preparation for new generation ili 2015 iwe rahisi kusukuma mlevi.
 
Hizo hela za kukodi helcopta zingetosha kulipia pango la ofisi sehemu nzuri kwa mwaka mzima badala ya kukaa kwenye ofisi chafu zisizo na hadhi pale Kinondoni
 
CDM uchaguzi wa Igunga ni dira ya 2015 Watanzania tunahitaji mageuzi ya fikra za watu.
muda wa kunyweshwa pombe na kanga, kofia, T.shirt umeisha. watu wanajua haki zao. makanda kolezeni
 
Namwaminia sana huyu Kamanda....najua mijeledi watakayotandikwa kuanzia kesho lazima Magamba yatashika adabu.
 
Hizo hela za kukodi helcopta zingetosha kulipia pango la ofisi sehemu nzuri kwa mwaka mzima badala ya kukaa kwenye ofisi chafu zisizo na hadhi pale Kinondoni

umesahau garama ambazo ccm walitumia kwenye uchaguzi mwaka jana?zingetosha kufanya mambo mangapi ya maendeleo kwa wananchi...ulishawaza ilo?
 
Hizo hela za kukodi helcopta zingetosha kulipia pango la ofisi sehemu nzuri kwa mwaka mzima badala ya kukaa kwenye ofisi chafu zisizo na hadhi pale Kinondoni

mbona unakurupuka ww kama wazee wa hijab bwana. kwani umeambiwa helkopta wamekodi shame you magamba!
 
Tunawaombea Makamanda wetu huko Igunga ili iwe kielelezo kwa maeneo mengine ya nchi
 
Mbona jp2 haifiki ili tufunge hesabu ya sarakasi za igunga na kuwaonesha magamba kuwa hira zao hazijasaidia sana wawashukuru tume kwa kuwapa muda wa kutufanyia fujo . Halaaaaaaaaaaaaa CDM

Ndugu yangu mimi mwenyewe naipenda cdm ishinde.Ila maruhani ccm wanaweza cheza faulo kali,suluhu ni kuwa na gun mtu akileta za kuleta unamfyatulia
 
Muda si mrefu kamanda wa anga Freeman Aikael Mbowe ametua hapa igunga na Helkopta iliyoandikwa CHADEMA ambapo watu wengi wamekusanyika na kama kawaida yake aliwasalimia wakazi wa Igunga na salam ya PEOPLES........,.....POWER

Acha kutuzuga, tupe taarifa za magamba we huna tofauti na wapumbavu wenzako wa magamba.
 
Back
Top Bottom