| ||
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni.
<tbody> </tbody> |
<tbody>
</tbody>
Hii ni dalili ya kushikwa pabaya! Nawasilisha
| ||
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni.
<tbody> </tbody> |
Rangi za CCM ZAVUTIA,zaita watoto mikutanoni.
Hao watoto hawamsikilizi yeye! Bali wanasubiri Ubwabwa we angalia katika hizo picha ona hisia za hao watoto wameweka mikono kichwani ndipo utapata jibu.
<br /> <br / NA SIKU ZOTE WANAOJIPA MOYO WANASHINDA.Jipe moyo