Igunga: CCM sasa wafanya kampeni kwa kuwahutubia watoto

Kazibure

Member
Oct 25, 2010
16
3
IMG_0948.JPG
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni.
watoto-ccm.jpg

mwisi.jpg

MGOMBEA ubunge jimbo la Ugunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni leo katika Kata ya Mwisi jimboni Igunga, Uchaguzi wa jimbo hilo unafuatia kujiuzuru kwa mbunge wa zamani wa jimbo hilo Bw. Rostam Aziz.
(Picha na Bashir Nkoromo)

<tbody>
</tbody>


<tbody>
</tbody>


Hii ni dalili ya kushikwa pabaya! Nawasilisha
 
khaaaa baada ya hapo ni uchakachuaji wa kura tuu.,nani atawapigia
make watoto hawajafikia umri wazazi wapo kwenye kampeni za chadema sasa
what next
 
Hao watoto hawamsikilizi yeye! Bali wanasubiri Ubwabwa we angalia katika hizo picha ona hisia za hao watoto wameweka mikono kichwani ndipo utapata jibu.
 
Hao watoto hawamsikilizi yeye! Bali wanasubiri Ubwabwa we angalia katika hizo picha ona hisia za hao watoto wameweka mikono kichwani ndipo utapata jibu.

hivi le ubwabwa wa cku ya uzinduzi haukuwa takrima?

sheria ya uchaguzi inaruhusu mambo yale?

naombeni ufafanuzi tafadhali
 
Tutawabana mpaka siku ya kutoa matokeo nina uhakika hata kama kikwete atapewa jukumu la kutangaza matokeo ataona aibu kuitangaza CCM maana watagalangazwa mbaya kabisa...
 
Walikosea wakawalisha watu ubwabwa na maharage yaliyooza, wengi wao wakaishia kuharisha. Sasa hiv wanaiogopa mikutano yao wamebaki watoto tu.
 
Wakifail mnalaumu Walimu, Sasa hao watoto kwanini wanaotlewa Shule? CCM inaua kizaizi kijacho kwa kuwajaza umbumbu
 
ccm wameshaishiwa sera siku nyingi, walianza kubeba watoto wa shule tangu kampeni za uchaguzi mkuu. La kushangaza ni kuona bado kuna watu wazima wenye akili sawa na hao watoto ambao wakipewa khanga, kofia na pilau wako tayari kuwarudisha mahakamani. Ama kweli njaa ni mbaya sana!!!
 
that is a paediatic ccm,mwigulu nchemba pole najua hustahilikuwa ccm sijui pepo gani limekupata kuwa ccm kwani hufananii ccm
 
watoto wa walalahoi wanatolewa madarasani wakaongeze idadi ya watu kwenye kampeni za ccm hii sio haki. Hayo yatakua ni maagizo ya DC kwenye ule mkutano wake wa kimafia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom