KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake, Maria Magdalena na kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.