Iguga byebye nitawatumimkia nikiwa dar

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Mbunge mteule wa jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) akisalimia wananchi katika mkutano wa kumkaribisha jijini Dar es Salaam, leo kwenye Viwanja vya Bakhresa Manzese. Kushoto ni Mke wake, Maria Magdalena na kulia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za CCM Igunga, Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.
 
Attachments

  • 1__Dk_kafumu_akislaimia__Kushoto_ni_mkewe_Maria_Magdalena_na_kulia_ni_Nchemba.jpg
    1__Dk_kafumu_akislaimia__Kushoto_ni_mkewe_Maria_Magdalena_na_kulia_ni_Nchemba.jpg
    41.9 KB · Views: 97
Hilo gamba limezoea kukaa kwenye barabara zenye mataa na maji ya bomba, Igunga wasahau kama wana-mbunge mpaka 2015.
 
sasa nakarishwa dar ili iweje? ni mbunge wa dar au igunga? nashindwa kuwaelewa magamba
 
Namshauri awe makini na Nchema, anaweza kumkazia mkewe, Maria.
 
yaani ni ajabu na kweli ushinde igunga mapokezi yawe dar kwani yeye ni mbunge wa jimbo la dar (chini ya masaburi)??
 
..Sidhani kama Kukaa kwake Dar kunaweza kuathiri Ubunge wake!!!..Tukianza kujadili nani anakaa wapi kwa hawa waheshimiwa wetu sidhani hata kwa CDM kama watakuwa salama??..Ilimradi anapata muda wa kulitembelea Jimbo lake na Mjengoni anakuwa active inatosha!!
Wakati mwingine tusiwe skeptical na issues ambazo hazina Tija...kwa wabunge wa Tanzania Dar es Salaam ndio kila kitu manake vikao na kila kitu vipo Dar..sasa kila siku atakuwa mtu wa kulala Guest House???...ni busara kwa Mbunge kuwa na makazi Dar!!!
 
Sidhani......huwezi kugombea kama huna makazi katika jimbo unalogombea......suala hapa mbona hii sherehe ahakufanya Igunga?
 
Back
Top Bottom