Mimi siamini, huenda anabwatuka tu.Unadhani anazitoa wapi hizi habari kama sio kutoka kwa mtu wa karibu na marehemu.
Hakuna lolote, huyu ni kutaka kumvuruga mwenzie.Huenda tatizo likawa "Hide my ID da' Mange!" Na wala sio yeye..!!
Siro ni zuzu tu, anafanya siasa za CCM kuchepusha mijadala ya vitu muhimu na sensitive kwa taifa. Kama la mo na Lissu ya liyokuwa wazi kabisa yalimshinda........Nani atakuwa mlalamikaji? Mitandaoni yalisemwa mengi kuhusu Ulimboka, Saanane, Azory na wengineo mbona hatukuona kauli ya polisi kuwahusu? Zaidi ya kuambiwa watu wasiulize.
Huyu Mama mnamuangamiza kwa wivu zetu tu, kila mtu na Riziki yake na agawaye ni Mungu.Thank you IGP Sirro, uchunguzi makini kabisa unatakiwa, tujue ukweli, kale kadada sikaamini katu milele, usikute kafanya yake kachukue mali mapema..!! Haiwezekani mzee achoke vile aiseee.. Kulikoni? Ni ugonjwa wa Mungu tu au ugonjwa umesababishwa na mtu..!! Tunalia wote, lazima kama kuna mkono wa mtu au la tujue, thank you IGP wetu
Kweli kabisa, itamchukua muda mrefu sana Jacks kukaa sawa hata kama hakuhusika. Huku msiba mzito wa kufiwa na mume alafu tuhuma tena za kuua!!!!Siro ni zuzu tu, anafanya siasa za CCM kuchepusha mijadala ya vitu muhimu na sensitive kwa taifa. Kama la mo na Lissu ya liyokuwa wazi kabisa yalimshinda........
Wachaga hawapotezagi kitu aisee,Hapa kuna jungu linapikwa na familia ya nyumba kubwa nimenusa.
Yepi yanasemwa? wanajamvi nijuzeni. Wame-kill?
Ok asante. Inawezekana I see. Huyu mzee nae sijui nani alimwambia adokoe hiyo type? Walimdanganya sana.Dada wa Taifa anasema mkewe kwa msaada wa karibu sana wa mcheps kamdedisha mzee baba ..ila ni roumours tu..sijui laln
Ok asante. Inawezekana I see. Huyu mzee nae sijui nani alimwambia adokoe hiyo type? Walimdanganya sana.
Ahahahaaaa....!....! Hakuna bhaaan...! Muda mwingine kudokoa kabinti mnapishana miaka kuanzia 30,lazima katakuwa na mchepuko unaokaridhisha kwa haja zile. Sasa shetani ana nguvu zake,mchepuka nae atataka amiliki jumla hivyo vya mkuu,angalau hata 70%. Kama ujuavyo nyie wenzetu huwa ukipenda unapenda kweli. Mwanamke yuko tayari kufanya lolote hata kuua ili mradi tu ahakikishiwe mapenzi moto moto.mhhh sio wivu kweli mzee baba..je angeoa mnyaki je
Ahahahaaaa....!....! Hakuna bhaaan...! Muda mwingine kudokoa kabinti mnapishana miaka kuanzia 30,lazima katakuwa na mchepuko unaokaridhisha kwa haja zile. Sasa shetani ana nguvu zake,mchepuka nae atataka amiliki jumla hivyo vya mkuu,angalau hata 70%. Kama ujuavyo nyie wenzetu huwa ukipenda unapenda kweli. Mwanamke yuko tayari kufanya lolote hata kuua ili mradi tu ahakikishiwe mapenzi moto moto.
Kwa hiyo anajihakikishia ulinzi wa vyote,mchep na mali?Hahhaa kitu inaitwa "protection"
adhnKwa hiyo anajihakikishia ulinzi wa vyote,mchep na mali?
Hizi ni tuhuma nzito sana kubwatuka tu mkuuMimi siamini, huenda anabwatuka tu.