IGP Sirro: Tutafuatilia kuhusu kifo cha Mengi ila tumalize msiba kwanza

Kitu kinachonishangaza k lyn aliolewa na Mzee Mengi miaka kama 3 nyuma lakini mapenzi mubashara ameonyesha miezi 3 kabla hajakufa kuna nini,isije ikwa mchezo kweli ili kutuaminisha walikuwa wanapemdana sana kumbe alitengeneza scene
Imenikumbusha mauaji ya Mary Wambui. Mtuhumiwa Judy Wangui alianza kujenga ukaribu na uswahiba, hata siku ya mwisho alikula naye dinner halafu akamuulia nyumbani kwake.
 
HHapana, mimi na wewe tunaoongea kwenye mitandao ndiyo hatuna basis, IGP anayo basis. IGP hawezi kuongea tu from the air, kama tunavvyoongea sisi hapa, source zake na zetu ni tofauti mno kwa sababu yeye hachukui vitu kutokea kwenye mitandao!
Ningependa iwe hivyo unavyosema, lakini tunawajua polisi wetu. Kauli yake means nothing na hasa pale anapoendeleza yaliyo mitandaoni. Kuna shida gani wao kufanya upelelezi wao bila kushababia maneno ya mitandaoni. Wanapotakiwa kufanyia yaliyo mhimu kwa wananchi they just freak away. Haya ya umbeya kimbelembele. Police force shoukd not be like that
 
Imenikumbusha mauaji ya Mary Wambui. Mtuhumiwa Judy Wangui alianza kujenga ukaribu na uswahiba, hata siku ya mwisho alikula naye dinner halafu akamuulia nyumbani kwake.
Naikumbuka hii dah ilikua scene ya hatari iliyotengeneza
 
Kuna wakati hili jeshi husema halifanyi kazi kwa maneno ya mtandaoni, ila kuna wakati mwingine kama huu huja na kauli kama hizi.. zakufuatilia yatokanayo namaneno ya mtandaoni
 
Huo ufuatiliaji usije kuwa ni kuwapa matatizo wazungumzaji. Pia wafahamu kuwa kuna tofauti kati ya opinions na facts.
 
View attachment 1088004

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi lake litafuatilia kwa kina maneno yote yanayosemwa mitandaoni kuhusu Kifo cha Reginald Mengi ili kubaini kama yanaukweli wowote ili sheria ichukue mkondo wake.

IGP Sirro ametoa kauli hiyo leo baada ya kufika nyumbani kwa Dr Mengi ili kutoa Pole ya msiba.

”Mzee Mengi alikuwa mshauri mzuri sana kwenye masuala ya ulinzi na usalama pamoja na misaada midogo midogo kwa vijana wetu wanapokuwa na shida. Zaidi alikuwa ‘very humble’ mara zote alikuwa anajishusha sana.

"Yako mengi yanayoongelewa kwa sasa mitandaoni, lakini jambo la msingi tumalize kwanza msiba, hayo yanayozungumzwa mitandaoni tutafuatilia,” amesema Sirro.
"Yako mengi yanayoongelewa kwa sasa mitandaoni, lakini jambo la msingi tumalize kwanza msiba, hayo yanayozungumzwa mitandaoni tutafuatilia,” amesema Sirro.

Naunga mkono hoja
 
Ningependa iwe hivyo unavyosema, lakini tunawajua polisi wetu. Kauli yake means nothing na hasa pale anapoendeleza yaliyo mitandaoni. Kuna shida gani wao kufanya upelelezi wao bila kushababia maneno ya mitandaoni. Wanapotakiwa kufanyia yaliyo mhimu kwa wananchi they just freak away. Haya ya umbeya kimbelembele. Police force shoukd not be like that

ilichokuwa najaribu kukueleza hapa ndugu yangu ni kwamba, IGP hajachukua taarifa kutoka kwenye mitandao, ana sources zake, ila sasa kwa sababu taarifa hizi hata kwenye mitandao zipo pia, kwa hiyo tunapomsikia IGP anaziongelea, sisi as laymen, tunadhani kuwa na yeye amechukua kwenye mitandao kama sisi kumbe hapana, yeye amechukua taarifa kutoka vyanzo vingine. IGP angekuwa amesikia tu kutoka kwenye mitandao yetu hii, wala asingefunua kinywa chake kuongelea rumours. In fact he is too big to be driven in such a way as to give out his valued comments basing on rumours!Nikutonye tu kwamba kawaida siku zote, wasomi wote huwa wanachukia sana kuonekana wanafanyia kazi rumours, hawezi kabisa kufanya kitu kama hicho!
 
Umenena kweli. Lakini kwa hakika tunaojua maadili ya civil service ilivyokuwa IGP hasingeongea hayo kama si ya mitandao kwa wakati huu. Hakukuwa na haja ya yeye kupanua kinywa wakati huu kama kweli alikuwa na taarifa hizo. Polisi hawako hivyo. It was and it is premature. Tatizo tu ni kuwa tumeona kwa siku hizi 'unnecessary too much politisisation of many issues by the police themselves'.
 
Back
Top Bottom