IGP Sirro: Tutafuatilia kuhusu kifo cha Mengi ila tumalize msiba kwanza

Nani atakuwa mlalamikaji? Mitandaoni yalisemwa mengi kuhusu Ulimboka, Saanane, Azory na wengineo mbona hatukuona kauli ya polisi kuwahusu? Zaidi ya kuambiwa watu wasiulize.
Siro ni zuzu tu, anafanya siasa za CCM kuchepusha mijadala ya vitu muhimu na sensitive kwa taifa. Kama la mo na Lissu ya liyokuwa wazi kabisa yalimshinda........
 
Thank you IGP Sirro, uchunguzi makini kabisa unatakiwa, tujue ukweli, kale kadada sikaamini katu milele, usikute kafanya yake kachukue mali mapema..!! Haiwezekani mzee achoke vile aiseee.. Kulikoni? Ni ugonjwa wa Mungu tu au ugonjwa umesababishwa na mtu..!! Tunalia wote, lazima kama kuna mkono wa mtu au la tujue, thank you IGP wetu
Huyu Mama mnamuangamiza kwa wivu zetu tu, kila mtu na Riziki yake na agawaye ni Mungu.
 
Naona wachaga tunataka tukomboe Mali zetu zisiende rwanda
 
Mzee Mengi amekufa kiennyeji. Kwa hadhi yake haikutakiwa afe kwa namna rahisi hivyo inaonekana hakuna hatua madhubuti za kitabibu zilizochukuliwa wakati anaumwa Dubai. RIP mzee mengi tutakukumbuka sana.
 
mhhh sio wivu kweli mzee baba..je angeoa mnyaki je
Ahahahaaaa....!....! Hakuna bhaaan...! Muda mwingine kudokoa kabinti mnapishana miaka kuanzia 30,lazima katakuwa na mchepuko unaokaridhisha kwa haja zile. Sasa shetani ana nguvu zake,mchepuka nae atataka amiliki jumla hivyo vya mkuu,angalau hata 70%. Kama ujuavyo nyie wenzetu huwa ukipenda unapenda kweli. Mwanamke yuko tayari kufanya lolote hata kuua ili mradi tu ahakikishiwe mapenzi moto moto.
 
Hahhaa kitu inaitwa "protection"
 
atafanyiwa postmortem huko dubey na finding zitajulikana tu,sio kutegemea maneno ya hisia
 
Back
Top Bottom