IGP Sirro: Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale

Msaada tafadhali;
Hivi siku hizi fedha za maendeleo anatoa Rais Magufuli? Naona kila mahali imekuwa wimbo Rais ametupa fedha za majengo, Rais katupa fedha za barabara nk.
Hivi sio Bunge tena linalo allocate funds kuwa hizo ziende huku au kule baada ya kuidhinishwa?
Hivi hawa watendaji wataacha lini kuhadaa wananchi kuwa Magufuli ndiye mwenye pesa za nchi hii na sio zao?
Hivi ni kipimo cha juu sana cha upumbavu, kuwafanya wananchi wote wajinga!
Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi Kwakua hatuna fursa ya kuhoji wala kudadisi ndio maana tumekubali japo kishingo upande,vyote vyake mpaka mimi mwenyewe wake maana anaweza kuja askari kunikamata asiniambie hata dokezo la kukamatwa kwangu.
 
Hapa nasubiria tu kuona actions kutoka kwa vijana wanaokesha jamii forum kila siku kuhubiri planB Kama democrasia ikishindikana.
Au ndo kufeli kwa Ukuta part2.. watanzania waoga Sana kwa biti Hilo siku hiyo hutaona hata kijana anakohoa..
Hata Sudan walikuwa waoga kwa miaka 2
30 lakini maji yalipowafika shingoni hawakusubiri kiongozi wa upinzani. Walianza na mdada anaitwa Alaa Salah ambaye ana umri wa miaka 22 tu na wakafanikiwa kumfurusha Dikteta Omar Bashir.
 
Mi nikishaangaliaga shape ya kichwa nikaona ni hizi design wala sijusumbui kujua ataongea nini
 
Hawa nao bhana wanapenda vitisho sana!

Hao CHADEMA si nimesikia wameshajitoa kwenye uchaguzi? maandamano yametoka wapi tena!

As a matter of fact, maandamano ni haki ya watu kuonesha kutokuridhishwa kwao. Maandamano sio uhalifu.

Either ways, these threats are too much and unnecessary!
 
Uchaguzi wa nini? Bora wawapitishe wagombea wa ccm bila kupingwa . Kuliko nicheze drafti/karata mwenyewe bora nijitangaze mshindi.
 
"Niwasisitize tu, wakati wa uchaguzi mtu asithubutu kuandamana, nitakushughulikia pale pale, kama ni suruali yako itachanikia pale pale kabla hujafika mbali na kwenda kuleta madhara kwa watu wasio na hatia,- Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirr
Kuna siku watu watayapuuza yote haya; na badala yake suruale yake ndio italowa kama imemwagiwa maji.

Kwa nini watu waandamane kama hakuna tatizo lolote.

Badala ya kuweka mkazo kwenye kutishia watu kwa nini asiweke msisitizo katika haki za watu kuhusu uchaguzi huo!

Kama haki zao zimelindwa, kwa nini pawepo na maandamano? Hata hivyo, kwa nini kuandamana iwe dhambi?
 
Kwani wewe ukizira, lazima wote wazire? Subiri tatehe uone kama uchaguzi hautafnyika. Tutaambizana humu.
Manyani ya Lumumba yanaenda kuchaguana
IMG-20191111-WA0001.jpeg
 
Haa haaa napata raha sana CHADEMA tumeiua CCM kifo cha mende, miguu juu. Kilichobaki na tegemeo kwa CCM ni hili genge policcm.
CCM ilishakataliwa duniani na mbinguni kwa matendo yao ya kigaidi na kupanga UGAIDI zidi ya watanganyika na wazanzibar IKULU ya Mwalimu Nyerere aliowahi kuita ni sehemu takatifu.

Mungu ni mwema sana wakati wote!
 
Tanzania usipokuwa mwanachama wa CCM wewe ni 2nd class citizen.
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya ukurungezi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, katibu tawala, Viti maalumu, mbunge, ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi...

Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa RAIS yaani SULUHU

 
Si anajua sisi waoga tukipigwa mkwara tuna sinyaa.
Uteuzi wa wanasiasa katika nafasi ya ukurungezi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, katibu tawala, Viti maalumu, mbunge, ubalozi wa nchi mbalimbali utasaidia kukutana na wanasiasa wenye jeuri ya FEDHA na Dharau ya maamuzi...

Utamu WA Siasa upo hapa mwenye maoni atume Kwa makamu wa RAIS yaani SULUHU

 
Back
Top Bottom