Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,502
Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!
Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??
Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki