IGP Sirro jiuzulu ulinde heshima yako

IGP Sirro jiuzulu ulinde heshima yako

tatizo upinzani mna vurugu na chuki.

NAona unaongelea vice versa,nenda waulize CCM waliokuwa field,kuna MNEC mmoja amekataa hata kwenda kupiga kura kwa alichokiona,mpaka anaona aibu kujiita CCM.Wekeni uhuru wa kuchagua viongozi halafu muone,Wale Green guard mliowatrain watakuja kuwalipukia siku si nyingi
 
Tatizo moja tu jeshi la polisi limeundwa na mkoloni kwa ajiri kulinda utawala wake ss baada uhuru tulitakiwa kuanzisha jeshi letu na kwa mfumo wetu kiaafrika. Sasa tumerithi jeshi na mfumo wake wake ule ule kumlinda mkoloni mweusi...
 
Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!

Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??

Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki
Mkuu umeanza vizuri lakni mwisho umeharibu kusema watakuja kulipa mbele ya haki

Tunapaswa kisimama kama vijana wakati ni sasa

Tusisubiri mbele ya haki isiyo na tarehe wala Saa

Mapinduzi ni jasho na Damu tusikubali ujinga hiyo tisha tisha tunaweza kuizima Kwa nguvu ya umma

Tuamkeni watanzania tumelala sana mpaka tunalaliwa sasa

Tusiishie kulalamika kwenye mitandao tuanze kujitokeza barabarani Kwa mapangu marungu na mashoko huku tukilitetea dongo

Watu wachache hawawezi kujifanya wao nchi mamillion tunaumia

Toka Uhuru nusu karne sasa matatizo hayatuishi kama misukule ya kuzimu



We want bread,
We want food
We want clothes
We want clean water supply
We want a good sustainable environment
We want a good democracies followup
We want employment
We want land


Tupige kelele Kwa wingi tena kelele za jasho na Damu
 
Polisi kiuhalisia wapo kwa ajili ya kulinda amani Mali na RAIA sema TU jamii tumejiaminisha kuwa hawatendi haki ulitaka waje bila magari na wangekuja hivyo bado mngesema wanatisha RAIA tujifunze kujifunza
ww una akili saana nakuomba usijiunge na siasa tu akili utazipoteza
 
Sasa wewe inakuuma polisi kupaki magari yao hapo Tegeta?? Ulitaka ufanye fujo?? Vipi tayari mmepigwa chini nini?? Mbona unalalama sana??
Kumbe na wewe policcm kweri wajinga ndio waliwao
 
huyu alipaswa aondolewe kazini mara moja. usalama wa raia umezorota sana.....
 
Back
Top Bottom