IGP Sirro jiuzulu ulinde heshima yako

IGP Sirro jiuzulu ulinde heshima yako

Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!

Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??

Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki
Hivi kwenye huu uzi point ni ipi ambayo Sirro anatakiwa ajiudhulu?je ni mijihoni kibao? Hapo tegeta? ?au ni dhana ya kufikiria ya umwagaji wa damu ambapo toka sirro kama igp hajawahi kukimbizana na wapinzani (hakuna mikutano ya mihadhara)
Kweli mtu unakurupuka vuu kwa kuwa wamepiga mijihoni we we kero umekimbilia nyuma ya keyboard na wasiotaka kufikirisha ubongo wanakusupport. !du! Kazi ipo!
Toka posho na madili yazibwe ni chuki kila kitu. Chuki inazeesha jamaa yangu!
 
Hujeleweka ndugu au unatumia vitu vinavyopigwa marufu na serikali ,,bangi/gongo
 
Mi nilijua ni suala la yale magari ya bandalini labda mwenzetu ushamjua mhusika kumbe ni siasa za udiwani
Sina cha kuongea hapa endeleeni kupambana na hali zenu
 
Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!

Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??

Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki
Hivi kwenye huu uzi point ni ipi ambayo Sirro anatakiwa ajiudhulu?je ni mijihoni kibao? Hapo tegeta? ?au ni dhana ya kufikiria ya umwagaji wa damu ambapo toka sirro kama igp hajawahi kukimbizana na wapinzani (hakuna mikutano ya mihadhara)
Kweli mtu unakurupuka vuu kwa kuwa wamepiga mijihoni we we kero umekimbilia nyuma ya keyboard na wasiotaka kufikirisha ubongo wanakusupport. !du! Kazi ipo!
Toka posho na madili yazibwe ni chuki kila kitu. Chuki inazeesha jamaa yangu!
 
Magukeshamuashia indicator. Sitasita!! Sio Mimi no Magu mwenyewe.hasa kwenye ufisadi kafeli. Mura Wa mulyaza vipi pot!
 
Watu wana taarifa kuwa mtazingua makarai bana[emoji83][emoji83][emoji83]
 
Yule RPC wa Geita ndiye analiweza hili jeshi kwenye kipindi hiki tulichomo
 
Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!

Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??

Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki
Niliandika na ikafutwa au kuunganishwa,hii ni jumapili ya majonzi.
Bado matokeo hayatoka,bado sherehe hazijaanza na bado giza halijaingia.
Kwa nini lakini????
 
Hivi kwenye huu uzi point ni ipi ambayo Sirro anatakiwa ajiudhulu?je ni mijihoni kibao? Hapo tegeta? ?au ni dhana ya kufikiria ya umwagaji wa damu ambapo toka sirro kama igp hajawahi kukimbizana na wapinzani (hakuna mikutano ya mihadhara)
Kweli mtu unakurupuka vuu kwa kuwa wamepiga mijihoni we we kero umekimbilia nyuma ya keyboard na wasiotaka kufikirisha ubongo wanakusupport. !du! Kazi ipo!
Toka posho na madili yazibwe ni chuki kila kitu. Chuki inazeesha jamaa yangu!
Kwa akili zako huwezi Kuona chochote, sijawahi kuwa muajiriwa wa kutegemea posho yao!!! Sio wa dizaini hio
 
Polisi kiuhalisia wapo kwa ajili ya kulinda amani Mali na RAIA sema TU jamii tumejiaminisha kuwa hawatendi haki ulitaka waje bila magari na wangekuja hivyo bado mngesema wanatisha RAIA tujifunze kujifunza
Elewa kilicho ndani ya uzi. Hoja siyo magari, usipotoshe. Ameandika kuhusu uhalifu unaotokea maeneo hayohayo walipo na wenyewe wapo. Hakuna wafanyalo na wanzisha vurugu wanawajua. Wigwa mwanamalundi?
 
Polisi kiuhalisia wapo kwa ajili ya kulinda amani Mali na RAIA sema TU jamii tumejiaminisha kuwa hawatendi haki ulitaka waje bila magari na wangekuja hivyo bado mngesema wanatisha RAIA tujifunze kujifunza

Unaumwa ugonjwa wa ufahamu...... Na hiki nikilema hutapona ndugu yangu..pole sana
 
Yule RPC wa Geita ndiye analiweza hili jeshi kwenye kipindi hiki tulichomo
How fafanua mkuu
Usimtafutie balaa wakati bado anapambana na king Msukuma na picha lao halijaisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom