Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Siro simuhurumi kabisa!!
Leo katiwa mkwara na jpm bandarini kanywea kweli😀😀😀😀Ni aibu kubwa Sana, hatuwezi kuwa na IGP Ambaye hana meno, amekua rubber stamp! Anaitikia kila jambo. Leo Hii akiulizwa huu umwagaji damu wote huu dhidi ya Upinzani una mkono wa Nani hana jibu!
Ni ujinga na upuuzi kuweka magari ya polisi kila mahali kwa chaguzi ambazo CCM ndio chanzo cha vurugu. Niko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu, ila wao ndio source ya vurugu. Wameondoka na mijihoni kibao, hivi huu ubadhirifu ni kwa faida ya Nani??
Mtakuja kulipia Hii mbele ya Haki
Sawa kabisaHujeleweka ndugu au unatumia vitu vinavyopigwa marufu na serikali ,,bangi/gongo
Sawa kabisaHujeleweka ndugu au unatumia vitu vinavyopigwa marufu na serikali ,,bangi/gongo
Serikali nzima inamwogopa mtu mmoja leo pale bandalini watu wanasemwa kama vile hawaelewi wajibu wao; yaani kila mtu ni muoga hadi wanatia huruma.
acha lazaro awanyooshe
Sasa magari yamepaki tu, na umesema yanasubiri watu wafanye vurugu tatizo liko wapi sasa ndugu yetu.. #Siasa_Hazitaki_HasiraNiko hapa Tegeta kuna magari ya Polisi yalikua yamepaki yanasubiri wafanye vurugu,
Mi kweliHahahahha never argue with a fool...