DOKEZO IGP Wambura, Polisi Kituo cha Kawe wana Kazi gani kama kila mara Maiti za Watu zinaokotwa Vichakani Tanganyika Packers?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ndani ya Mwezi Mmoja kumeokotwa Maiti Nne (4) moja ikiwa ni ya Mwanamke na zote zimetobolewa Macho.

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba Kituo cha Police Kawe kipo Jirani na eneo (vichaka) husika na hakuna wanachokifanya.

IGP Wambura tafadhali waambie Askari wako wa Kituo cha Kawe na Mkuu wao waache kuwa busy kugombea kumpa Escort Mtume Mwamposa ili walipwe nae Posho za Shilingi Laki Moja Moja kila Siku zake za Ibada (Jumapili, Jumatatu, Jumanne na Siku za Makongamano) na badala yake Wajikite katika Kulinda Amani ya eneo husika la Kawe hasa katika Vichaka vya Tanganyika Packers vilivyo Jirani pia na Shule ya Makabwela (Matajiri) ya Feza.

Na katika hivyo Vichaka Maiti haziishii tu Kuokotwa bali hata Mabinti na Wanawake hubakwa Mtungo (Mande) na Wanaume kuanzia 9 hadi 12 tena kwa Kuwaingilia mbele na nyuma mpaka Wengine Kuzimia na hata Kufa kabisa.

Ushauri wangu Kwako IGP Wambura amrisha kuwe na Doria 24/7 Eneo hilo na pia kufungwe haraka CCTV Camera ili kulifanya liwe na Amani na Matukio haya Mabaya na ya Kikatili yapungue.

Na ukiweza pia amrisha Watu wa Shule ya Feza, Mtume Mwamposa na Kampuni ya Ujenzi iliyopo hapo inayotunza pia Vifaa vyake Wote hawa kwa pamoja wafunge Taa Kubwa na zenye Mwanga Mkali na unaofika mbali ili Nyakati za Usiku hilo eneo liwe Salama kwa Watu (Wakaazi)

Mwisho kabisa Mzalendo Mimi MINOCYCLINE (alias) Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person nakuomba uwaambie Askari wa Patrol wa Kituo cha Police Kawe waache Kukimbizana barabara za ndani ndani Mitaa ya Kawe ili Kukamata Wauza Mafuta ya Taa na ya Kupikia ya Magendo ili wapewe Rushwa na badala yake Wajikite zaidi Kupambana na Wahalifu wengi wa Kawe ambao Wengi Wao ni Marafiki zao na Wanawajua ila Wanawalinda.
 
Polisi hata wa USA wanapata changamoto itakuwa hapo Kawe. Kiufupi sehemu zenye maficho kama vichaka na mapori zina wakati mgumu kujua kinachotendeka.
 
Huenda nikitengo maarum Cha mauwaji na ubakaji kilicho vaa sura ya kituo Cha polisi
 
Huu mwandiko wa genta hahah

USSR
 
Napendekeza Mwamposya aitwe kituo cha polisi kwa mahojiano maalum na akikaidi abinywe kidogo atafunguka yote yanayomhusu juu ya mauaji hayo.
 
Suluhisho la kudumu,
Maaskari wote pamoja na waumini wa mwamposa, feza, kampuni ya ujenzi na watu ambao wanazagaa mitaani,siku wanaamua kufyeka hivyo vichaka wasombwe na wanajeshi pamoja na askari wakafyeke vichaka hivyo.Ninaimani itachukua Muda mfupi kumaliza kufyeka vichaka ili pasiwe na wahuni kujificha.
Zamani kidogo mashamba ya kcmc watu walikuwa wanakabwa na wanawake kubakwa kwenye mashamba ya mahindi yalikuwa nyuma ya kcmc.Sasa serikali ikaamua mahindi yavunwe baada ya hapo walime maharage.Problem ikawa solved.
 
Polisi hata wa USA wanapata changamoto itakuwa hapo Kawe. Kiufupi sehemu zenye maficho kama vichaka na mapori zina wakati mgumu kujua kinachotendeka.
Na ndiyo maana panahitajika polisi wa kutosha hapo au kama inawezekana basi wafanye doria humo porini, hii ndiyo kazi ya polisi (usalama wa raia).
 
Back
Top Bottom