GE2025 IGP Achana na mpango huo Mara moja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Natoa onyo tu !
Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo

Britanicca
Hadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .

Kwa mara ya kwanza nayaona matumaini ,najiandaa kulishihudia anguko la mwamba wa kati mchana wa saa nane ,namsikitikia full beki nambari four sijui ataficha wapi heshima yake dah!
 
Mkuu huwa unatusaidoa humu kuchana codes kiduchu, tuchanie maana tuko darasani na hatuelewi topic ubaoni
 
Angusha uzi bas tunakutegemea humu ndani
 
Hakika
 
Nimetoka kama nilivyoingia
 
Tatizo hajali kauli ya raia yeyote, kaamua kuvaa mask a.k.a boshori na masikio kaweka gundi ilihali anaona lakini haelewi.

Nepal haijatoa funzo, Malawi kwa heshima ya sanduku haijawapa funzo, wanataka kuingia kwenye kumbukumbu za nchi kama Hitler.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…