Arizona 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,768
- 3,484
Ona mpuuzi huyu, so what ukiwa wa kwanza!?Leo wa kwanza ku comment
Ona mpuuzi huyu, so what ukiwa wa kwanza!?Leo wa kwanza ku comment
HUMPHREY POLEPOLEWewe no nani kumuona IPG mtu unaishi kwa account fake
USSR
Umenielewa sanaTatizo hajali kauli ya raia yeyote, kaamua kuvaa mask a.k.a boshori na masikio kaweka gundi ilihali anaona lakini haelewi.
Nepal gaihatoa funzo, Malawi kwa heshima ya sanduku haijawapa funzo, wanataka kuingia kwenye kumbukumbu za nchi kama Hitler.
Issue ya Malawi bado mbichi sana , hadi muda huu maafisa 12 wameshakamtwa kwa kushirikiana na kikundi cha wa wa Israel kuudukua mfumo ,anaetajwa kushinda wenda ndiye atakaeshindwa .Tatizo hajali kauli ya raia yeyote, kaamua kuvaa mask a.k.a boshori na masikio kaweka gundi ilihali anaona lakini haelewi.
Nepal gaihatoa funzo, Malawi kwa heshima ya sanduku haijawapa funzo, wanataka kuingia kwenye kumbukumbu za nchi kama Hitler.
Ni kiswahili lakini sielewi mweeh!Issue ya Malawi bado mbichi sana , hadi muda huu maafisa 12 wameshakamtwa kwa kushirikiana na kikundi cha wa wa Israel kuudukua mfumo ,anaetajwa kushinda wenda ndiye atakaeshindwa .
Kwetu Boti ipo Dodoma na dereva anamzuka nihatari Engine ishang'olewa mmiliki hajui, akipiga video call anaonyeshwa ya kwenye bango anatuma watu wawakusanye wazee wa ukoo wakamfuate mwali, majirani wanaogopa kumjulisha kuhusu mazishi ya mwali kwakuhisi anaweza kutahariki.
...tarehe ya safari inaendelea kusisitizwa .
Wanaotumwa kwenda kuwakusanya wazee wakifika najulishwa kwa upole tu ,nahisi sintasafiri kwasababu ya udhuru wakifamily .
Mmiliki anataka kumtumia dereva na dereva anamtumaini mmiliki wa chombo ili kuzifikia ndoto ,utata ni usalama wa hali ya engine ,kila siku mtoto wa boss anatoa kifaa kimojakimoja na kuuza .
Asipostukiwa kabla ya tarehe ya safari hakutabakia na kitu ndani yake .
Zingatia engine
Zingatia wageni
Zingatia wanaowafuata wageni
zingatia mtoto wa Boss
Zingatia na dereva
Usimsahau mwenye Boti na mwisho jitahidi umjue dereva
Then code_free
Usimwambie mtuHuu mwaka wanatumia nguvu zaidi kuliko akili, kadri wanavyopanick ndivyo wanaharibu zaidi.
MWewe no nani kumuona IPG mtu unaishi kwa account fake
USSR
OkayHuyu boya kaamua kuwashika masikio .
Kila ujinga anaopost mnacomment.
Hiki nini sasa
Mkuu na wewe ume comment 😄Huyu boya kaamua kuwashika masikio .
Kila ujinga anaopost mnacomment.
Hiki nini sasa
Mkuu wewe unakiona alichokiandika kinajitosheleza??Mkuu na wewe ume comment 😄
Kwaiyo na wewe umeshikwa wapi? Kama wana comment wameshikwa masikio
Unajipa umuhimu ambao hauna mwananguNatoa onyo tu !
Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo
Britanicca
Mtu akiwa mgeni hapa Afrika anaweza kuamini ulichoandika. Lisu ana wafuasi hopeless sana.Nchi hii ina vituko! Ila tafadhalini msimzuru Mh: T. Lissu, mkifanya hivyo Watanganyika tutakinukisha.