misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,046
- 13,171
Hadi ukiona wanatiririka na comment jua wameelewa mkuuMkuu wewe unakiona alichokiandika kinajitosheleza??
Kama umemuelewa nieleweshe mkuu.
Hadi ukiona wanatiririka na comment jua wameelewa mkuuMkuu wewe unakiona alichokiandika kinajitosheleza??
Kama umemuelewa nieleweshe mkuu.
Nimezipitia hakuna aliyefafanua nini kinaendelea.Hadi ukiona wanatiririka na comment jua wameelewa mkuu
Labda mambo ya PSG na Dembele!Toa code kidogo mkuu.
Hii na Mimi nimeshindwa. Kudecode!mkoa kule magharibi kwa siku nne tu kisha
Hawa hawana maana umbea tu ,kujifanya majasusi na ramli zao kwanza hata ikiwa kweli IGP hawezi kua mjinga kiasi hicho awe exposed kwenye jambo la namna hilowakati watanzania tumelala. Watu pekee wa kukomboa huu ushenzi ni sisi raia wenyewe tukiamua maana hao viongozi wote wamelambishwa asali.Angusha uzi bas tunakutegemea humu ndani