Hadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .Natoa onyo tu !
Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo
Britanicca
Mkuu huwa unatusaidoa humu kuchana codes kiduchu, tuchanie maana tuko darasani na hatuelewi topic ubaoniHadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .
Kwa mara ya kwanza nayaona matumaini ,najiandaa kulishihudia anguko la mwamba wa kati mchana wa saa nane ,namsikitikia full beki nambari four sijui ataficha wapi heshima yake dah!
Analula saruji ndo maana hana nyama mwilini😃😃😃Natoa onyo tu !
Utaaibika sana nakusihi achana na plan hiyo
Britanicca
Angusha uzi bas tunakutegemea humu ndaniHadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .
Kwa mara ya kwanza nayaona matumaini ,najiandaa kulishihudia anguko la mwamba wa kati mchana wa saa nane ,namsikitikia full beki nambari four sijui ataficha wapi heshima yake dah!
HakikaHadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .
Kwa mara ya kwanza nayaona matumaini ,najiandaa kulishihudia anguko la mwamba wa kati mchana wa saa nane ,namsikitikia full beki nambari four sijui ataficha wapi heshima yake dah!
Nimetoka kama nilivyoingiaHadi sasa amekosa support japo jitihada ni kubwa ,vikao vya usiku na mchana ,walivyo usingizini mazishi yao hayazingatii mila wala dini ,wanaenda kwa mwendo wakujitupa sana ,mbele ya dereva ,wakiwa nyumbani wakiwa Bar Whatsapp ndiyo kabisa #code_free .
Kwa mara ya kwanza nayaona matumaini ,najiandaa kulishihudia anguko la mwamba wa kati mchana wa saa nane ,namsikitikia full beki nambari four sijui ataficha wapi heshima yake dah!
Anaweza kufanywa na hakuna mtanganyika atafanya kitu.Nchi hii ina vituko! Ila tafadhalini msimzuru Mh: T. Lissu, mkifanya hivyo Watanganyika tutakinukisha.
tulia ww buku (1,000) tu uka mtangaza vibaya wakala wa watu mbezi mwisho hapo ingekua 1M si unge ita mapolish wwWewe no nani kumuona IPG mtu unaishi kwa account fake
USSR
Na wadhubutuAnaweza kufanywa na hakuna mtanganyika atafanya kitu.
Sawa keyboard warriorsN
Na wadhubutu