Ignore List

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Hivi karibuni nimekuwa nikiona posts za baadhi ya watu hapa jamvini ambazo nia yao ni kuvuruga hoja na kuleta chuki. Nina imani kubwa kuwa wametumwa rasmi na wasiopenda maendeleo ya Watanzania ili kuchafua jamvi hili. Ushauri wangu ni kuwaweka katika 'ignore list' na hivyo hoja zao hazitaonekana kwako, na hapo watakuwa wameshindwa kutimiza malengo yao maovu.
 
Tupo pamoja mkuu, maana wakati watu wanajadili jambo serious wako ambao wanaleta mzaha na kujaribu kupindisha hoja, kwa maana ya kuwa wachangiaji wanaacha kujadili hoja wanaanza kujadili mtu kwa jinsi ambavyo amepost huo mchango wake.
 
Hata wajinga tunataka tuwasikie na hoja zao za kijinga. Kumbukeni wachafuaji waliotumwa na magamba wameingia humu hasahasa kuanzia mwezi wa pili-February 2011.Ukipiga ignore list kuanzia kipindi hicho, magamba wengi watakuwa nje. You can know them kupitia uchangiaji wa kupotosha hoja, hasa kuziderail hoja.
Pili utaona wanaungana mkono katika hoja zao.
Tatu utagundua they are too emotional kiuchangiaji wao.Kama vile hawakwenda shule.
Ebu rudi kwenye thread iliyowahusu watoto wa wakubwa cheki vizuri utaona kitu.
 
Back
Top Bottom