IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

IFM mlienda 400 Ila makoti kwa ajili ya Graduation yapo 170 tu
 
Ningeweza kusema kama ningeona mitihan na kuthibitisha kuwa imesahishwa
 
Ningeweza kusema kama ningeona hyo mitihan mnayodai imesahishwa vibaya..vinginevyo wanafunz huwa wanalalamika tu kuhis wanaonewa...IFM watt wa chuo hiki mabishoo sana. Kusup darasa zima si ajabu
 
Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Shwaini
Duh kwa iyo alikumamata na akakuomba kukutafuna
 
Wasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Soma huko huuuo muda unaoutumia huku ungekaza kdogo ungepata above 40
 
Busara kubwa sana ingekuwa ni kulifikisha swala hili mahali husika ndio maana kuna serikali ya wanachuo na pia kuna uongozi wa chuo na pia kuna principal, lakin kwa hiki ulicho kifanya hapa kinaweza kuchukuliwa tofauti na matarajio yako.
Hata hapa uongozi wa chuo utapata hii habari, haiwekani husitoe matokeo ya course work mapema thien unafelisha watu makusudi
 
Wasalaam wakuu.
Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.
Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.
La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.
Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Hivi mwalimu anaposahihisha mtihani si anakuwa na marking scheme. Sasa tuhuma kuwa anafelisha zinatoka wapi maana anasahihisha kutokana na majibu yaliyopo kwenye marking scheme. Na hata ungepewa coursework kabla ya UE ungebadili nini katika unachokijua kwa ajili ya kufanya UE? Butheway coursework inaweza ika reflect uwezo wako which means hata ukipewa UE hutabadili sana matokeo ya jumla.

Kingine kumshtaki mwalim wa chuo kwenye mtandao si njia sahihi na kama ni tatizo la kweli halitapatiwa ufumbuzi stahiki. Naamini kuna vyombo husika vya kushughulikia haya masuala chuoni na huko ndio mtapata majibu. Mnaweza hata mkaanzia kwenye umoja wa wanafunzi, seneti ya chuo,...n.k...
 
Unaweza kuthibitisha hayo madai yako? I am happily maried na sina hiyo tabia
ndo ww?
Huu ni ujinga wa hali ya juu saana umeonyesha wewe uliyeleta hii mada hapa, unaonekana kabisa elimu uliyoipata haijakusaidia hata kidogo. Swala la coursework kutokupatikana kwa muda sio ishu ya public hili ni swala ambalo mungeliweza kulimaliza hukohuko, hasa unapolileta huku kwenye mitandao unataka kutafuta sifa tu zisizo na maana kwa kuharibu tu sifa ya mtu na chuo. Inawezekana kosa lipo ila haya ni ya kumaliza ndani kwenye uongozi wa chuo chenu.

Lakini swala hapa sio coursework kuwa chini ya 40%, nadhani hiyo sio hoja, hizo ndo mark mlizopata, so hata zingeliwekwa mapema bado zingelikuwa ndo chini ya 40%. Kama mwalimu kaweka kile mlichopata isichukuliwe kuwa ni msumbufu, mbona zikichelewa zikaja zimeongezwa hamsemi.

Nadhani ni busara kujua wapi mahalisahihi pa kuwakilisha tatizo lako na ni tatizo gani unalowakilisha. Kuja kwenye mitandao kisa ipo ni kukosa busara tu.
 
IMG-20170328-WA0005.jpg
 
Upo sahihi sana mkuu Big up...Wanafunzi hawa waliotanuliwa goli wakafunga...wanashida sana...HAWAJUI HATA SEHEMU SAHIHI YA KUWASILISHA SHIDA ZAO.
Kama mtu alipanuliwa goli unafikir anawaza nn?sianajua elimu rahc tyuu huu ndo usengerema wa wanafunzi wa leo anashinda disco na kufanya mapenz guest ili kesho aje amsingizie mwl kuwa anamtongoza sijui anataka rushwa .please Dr.doriye keep going
 
Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Kuna wakufunzi wengine wanapenda wanafunzi wao wafeli mtihani. Miaka ya nyuma chuo hicho hicho kulikuwa na mkufunzi alikuwa siku nyingine anatoa test yenye maswali mawili halafu haoneshi marks anasubiri mfanye kwanza. Mkiishafanya, lile swali ambalo wengi wamepata anaweka marks 30/100 na walilofeli wengi marks 70/100!!!
 
Nilidhani una hoja kumbe PUMBA!!! Mwl afelishe darasa zima ili iweje? Tena ninyi wa awamu ya JK hata chuo kikiwaondoa wote sioni shida akili hamna vichwani, Library hamuenda ila kufaulu mnataka.
Ww unadhani tafti ya 61% Vil,aza imekujaje Tz kama siyo akina ww?
Kutongoza mademu, kupiga selfie na kuchat ndio Syllabus alizo wapa Shukuru Kawambwa!!
Japokuwa mwenyewe ni awamu hii hii ya kawambwa product ila nimeelewa sana ujumbe wako wenye akili wataufanyia kazi.
 
Unaweza kuthibitisha hayo madai yako? I am happily maried na sina hiyo tabia
Unajidai kwa sababu sikukurekodi unapo niomba hiyo rushwa au vipi? You are martied and yet una michepuko chungu mzima kwa wanafunzi hapo chuoni. Anyways, ngoja nikae kimya, namshukuru Mungu sikwenda kwenye guest uliyo niagiza niende ukanitafune na nikachomoa supp.
 
Back
Top Bottom