IFM: Mwalimu Elli Doriye anakera, anaharibu chuo

Unajidai kwa sababu sikukurekodi unapo niomba hiyo rushwa au vipi? You are martied and yet una michepuko chungu mzima kwa wanafunzi hapo chuoni. Anyways, ngoja nikae kimya, namshukuru Mungu sikwenda kwenye guest uliyo niagiza niende ukanitafune na nikachomoa supp.
Ni kihere here chao! Ulisikia nina kesi ya rape au defemation?
 
Unajidai kwa sababu sikukurekodi unapo niomba hiyo rushwa au vipi? You are martied and yet una michepuko chungu mzima kwa wanafunzi hapo chuoni. Anyways, ngoja nikae kimya, namshukuru Mungu sikwenda kwenye guest uliyo niagiza niende ukanitafune na nikachomoa supp.
Aiseee hii sasa ni hatari
 
Usimuamini huyu,alikuja chuo kufanya usista duu,alipokamatwa akaanza kulilia ,huu ni muendelezo wakulia lia,Vyuma vilikaza.
Kama ni wewe kweli ni mtoto wa Prof Doriye (aliyekuwa anajiheshimu), unakosea sana. Huyu binti (kama ni binti) amekuvua nguo. Itabidi Mkuu wa Chuo tumpatie hizi tuhuma. Kama una ushahidi Binti Marry Hunbig ni jambo la maana kwani tabia hii ni mbaya.
 
Kama ni wewe mtoto wa Prof Doriye, unakosea sana. Huyu binti (kama ni binti) amekuvua nguo. Itabidi Mkuu wa Chuo tumpatie hizi tuhuma. Kama una ushahidi Binti Marry Hunbig ni jambo la maana kwani tabia hii ni mbaya
Itakuwaje,ikithibitika yeye ndo alikuja kunitega ofisini ili nimpe maks za kyupi halafu mimi nikakataa ndo akaja huku kulia lia? Hivi hapa JF ni mahakama ya IFM? Hata kama ingekuwa mahakama basi ingekuwa ni Kangaroo court.
 
Ulikuwa unajirusha wakati wa vipindi halafu sasa hivi unalilia humu.
 
Itakuwaje,ikithibitika yeye ndo alikuja kunitega ofisini ili nimpe maks za kyupi halafu mimi nikakataa ndo akaja huku kulia lia? Hivi hapa JF ni mahakama ya IFM? Hata kama ingekuwa mahakama basi ingekuwa ni Kangaroo court.
Kwanza wewe unaonekana si Dr Doriye maana story zako za kitoto na za kuonyesha upo Mbezi kwa Msuguri. (Watakuona wapi)! Acha kupakaza huwezi kuwa mhusika ukajibu namna hiyo. Ref kwa nini nimesema utoto

  1. Vitu vifuatavyo vinahitajika.
    Frij ndogo bei 150,000 na tabulate kali 150,000.Mwenye navyo fanya haraka kabla sijamalizia pesa kwenye bia.
    Thread by: balibabambonahi, Oct 5, 2017, 28 replies, in forum: Matangazo madogo

  2. Thread
    Mahakama za kangaroo
    Kangaroo wote tunamjua,kama siyo kwa kumuona mubashara basi hata kwa picha.Wengi wetu tulianza kumuona kipindi kile tuko kule kwa bibi kijijini...
    Thread by: balibabambonahi, Oct 2, 2017, 0 replies, in forum: Jukwaa la Sheria (The Law Forum)

  3. Thread
    Naomba Ushauri; Mke kalala chumbani kwa watoto kisa tumeenda bar bila hela
    Haya
    Thread by: balibabambonahi, Sep 28, 2017, 14 replies, in forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki

  4. Thread
    Mwizi wa pikipiki achomwa moto Mbezi kwa Msuguli
    Ni huku mbezi kwa Msuguli hapa SM lodge ,a.k.a Kwa Mgaya,watu wasiojulikana wamemkamua uhai dereva wa bodaboda ambaye kumbe kazi yake kubwa...
    Thread by: balibabambonahi, Sep 14, 2017, 26 replies, in forum: Habari na Hoja mchanganyiko

  5. Thread
    Leo hii ni siku ya Alhamisi nyeusi kwa demokrasia na taaluma ya sheria nchini.
    Hii siku ni Alhamis nyeusi kwa Demokrasia na taaluma ya sheria nchini. Kama Tundu Lissu anapigwa risasi mchana kweupe itakuwaje kwa mtu kama mimi?...
    Thread by: balibabambonahi, Sep 7, 2017, 19 replies, in forum: Habari na Hoja mchanganyiko

  6. Thread
    Lowassa na shaka ssali
    Voice of America Sent using Jamii Forums mobile app
    Thread by: balibabambonahi, Sep 6, 2017, 12 replies, in forum: Jukwaa la Siasa

  7. Thread
    Uganda vs Egypt
    Uganda moja kwa bila dakika ya 52,Okwi kabahatisha hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
    Thread by: balibabambonahi, Aug 31, 2017, 14 replies, in forum: Sports

  8. Thread
    Burian Dk. David Mbele
    Kwa wale waishio Mbezi mtaa wa Temboni_Bwaloni kwa Musuguli kuna huyu dk ana maabara yake karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.Amewasaidia wengi...
    Thread by: balibabambonahi, Aug 31, 2017, 24 replies, in forum: Habari na Hoja mchanganyiko

  9. Thread
    Mshahara wa mwezi wa nane tayari
    Mishahara yenu tayari nendeni mkabebe Sent using Jamii Forums mobile app
    Thread by: balibabambonahi, Aug 23, 2017, 32 replies, in forum: Habari na Hoja mchanganyiko

  10. Thread
    Mmemuona Maulid wa Kitenge?
    Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila...
    Thread by: balibabambonahi, Aug 21, 2017, 41 replies, in forum: Celebrities Forum

  11. Thread
    Mwanasheria mkuu wa serikali ni mshauri mkuu wa masuala ya kisheria na si mwamuzi mkuu
    Ukisoma ibara ya 59 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya 1977,mwanasheria mkuu wa serikali(AG) anatajwa kuwa ni mshauri mkuu wa...
    Thread by: balibabambonahi, Aug 13, 2017, 0 replies, in forum: Jukwaa la Siasa

  12. Thread
    Aliyekula rambirambi
    Sisi wana simba kwanini tusijichange ili tukalipe tuondokane na hii laana? Tulikula rambirambi ya Mafisango ,ona sasa kombe la ligi hatujaligusa...
    Thread by: balibabambonahi, Aug 6, 2017, 2 replies, in forum: Sports

  13. Thread
    Jamaa yetu mambo yake saFi
    Mara Old traford,Emirates,Bush house london nk.Bado Merseyside,darajani na ,White heart lane.
 
Nakushangaa kwa kuja na innuendos dhidi yangu,kwa ulichokifanya sioni kama kuna hoja au ushahidi wa kurebutte,whether Iam or l am not.Kufukua kwako makaburi haimaanishi mimi siyo,isitoshe ,nani kakwambia nimekuja JF kujitambulisha kwamba mimi ndiye?
 
Great observation. Nilipo chungulia thread zake, nikaacha kumjibu maana anapretend uongo
 
Mkuu,ulitegemea mtuhumiwa aje hapa kukiri au kukanusha? I did it ili kupata mengi zaidi,inaonekana mlianza kuamini kwamba ni yeye.Isifiwe first April ya kila mwaka.Hahahahahaha.......
 
Great observation. Nilipo chungulia thread zake, nikaacha kumjibu maana anapretend uongo
Wataniona wapi anaonyesha ni mtafuta free-P tu. Achana naye, utoto unamsumbua. Ila uloyasema kama ni kweli nipo tayari hata kumueleza
 
IFM is a higher learning institution na wanafunzi wanaosoma hapo tunategemea wana higher reasoning and thinking. Ulichofanya unatuambia hapo chuo hakuna mechanism ya kusolve problems!!! Kweli?
 
Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Wadada wengi mnapenda kujificha nyuma ya hiyo sentence ya mwisho
 
Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
ulisalimika mana avatar tu mashallah be honest to this ili nijue naanzia wapi kumshughulikia
 
Mimi pia nilisoma hapo. Kiukweli huyo dokta hafai. Issue sio ugumu wa mtihani bali ni kufelisha kwa makusudi wanafunzi na baadae kudai rushwa ya ngono kwa wadada.
Hakuna Ku appeal? Au mki appeal anarudishiwa yeye Ku remark? Kuweni wakweli
 
Wasalaam wakuu.

Mwalimu tajwa hapo amekuwa ni kero kubwa hapa chuoni. Amekuwa na tabia ya kufelisha wanafunzi kwa makusudi.

Kwa mfano, sisi ametufundisha Financial Markets mwaka huu, na kwa utaratibu wa chuo inabidi ujue coursework yako kabla ya kuingia kwenye UE.

La ajabu ni kuwa hakutoa matokeo, na chuo kimefunga ana upload marks darasa zima below 40 percent.

Hii haipo sawa na tunaomba uongozi wa chuo ufuatilie hili.
Wasalaam.
Kwakweli anatuumiza sana huyu mwalimu ana roho mbaya kama hajawahi kujua ugumu wa kusoma
 
Back
Top Bottom