Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 1,594
- 3,994
Hahahaha sijui umefikiria nini mkuu....Baada ya wewe kumaliza shule sio?!🤣🤣
Kabisaaa mkuu...Fence ni muhimu sana kwa shule, hospital hata kama isiwe ukuta wa matofali
Hakika....Hizo shule nyingi zimekuwa kama vituo vya kufanyia mitihani tu. Shule hizi zina mazingira yasiyo rafiki kabisa kwa watoto wetu.
Wahusika wapi? Au unamaanisha waulizwe wasichana?Naunga mkono hoja! Ila suala LA kijana kukutwa bweni LA wasichana, waulizwe wahusika ilikuajee?
Ndiyo waulizwe hao wanafunzi wa hilo bweni.Wahusika wapi? Au unamaanisha waulizwe wasichana?
Hahahaha! Dah!Ndiyo waulizwe hao wanafunzi wa hilo bweni.
TUWAPELEKE FEZA SCHOOLS.Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule nyingine ziko katikati ya miji lakina hazina uzio.
Kuna shule moja hapa Arusha wananchi wanakatisha katikati ya shule ndipo njia ilipo. Hivi hapo mwanafunzi ataconcentrate na masomo kweli?
Vipi kuhusu nyakati za usiku? Hivi wanetu wanakuwa salama kweli? Hivi watu wote wanaopita hapo ni wema? Na ukizingatia umeme unakatika mda wowote, shule haina jenereta, hata umeme ukiwepo taa hazijasambazwa kwenye majengo yote.
QqHaya juzi kuna jamaa amekamatwa ndani ya bweni la wasichana. Na kesi iliisha kienyeji tu. Vipi kuhusu hili? Kwanini isiwe sheria kwamba hakuna shule mpya itafunguliwa bila kuwa na uzio? Duh!...
Vipi khali ya mashule huko uliko?
Mkuu kwani fence inasababisha mapepo?Wacha bwan unataka binti zetu waanze kuanguka mapepo
Ada ya feza ni kiinua mgongo cha mtumishi mmoja... USISAHAU.TUWAPELEKE FEZA SCHOOLS.
Coca nimeturn on notification