Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA.

Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani.

Of course a person has a right to show off his or her achievements. It is a natural and biological trait.

Kuna muda walienda vacation Ulaya akawa anapiga picha ana post.

Fast forward, amerudi bongo sasa amekufa kwenye mazingira ya kutatanisha inasemekana amewekewa sumu.

Hapa now nipo " Bar" kwenye msba. Bar iliyopo karibu na " The funeral home of the deceased person".

Saa saba maziko.

Waliomlisha sumu binti wa watu ni watu wenye akili ndogo Sana.

Wanadhani mtu kwenda Marekani ni kufanikiwa.

Wanatishwa na hayo mafanikio ya mtu huyo kuwa Marekani.

Muda sasa ufike, wa Tanzania waelemishwe kwamba mtu kuwa Marekani sio ndio kwamba amefanikiwa kwenye maisha.

Kuna wa Tanzania wanaishi Marekani maisha magumu kuliko wewe unae ishi Tanzania...

Rest In Piece
 
Aisee inahizunisha Sana. Wivu na husda ni kitu kibaya Sana.
 
Mkuu mbona umendika ukiwa na uhakika kuwa sababu ya kifo cha huyo binti ni wivu wa watu binafsi kuhusu achievement za marehemu kuwa nje ?

Una uhakika gani hiyo ndiyo sababu kuu?
Mbongo typically wewe mpe picha tu, habari anajaza mwenyewe.

Halafu umefanya jambo zuri sana kuhoji habari.

Mbongo typical ukimuwekea habari hajui kuihoji kabisa.
 
Mbongo typically wewe mpe picha tu, habari anajaza mwenyewe.

Halafu umefanya jambo zuri sana kuhoji habafi.

Mbongo typical ukimuwekea habari hajui kuihoji kabisa.
Vitu vingine ni " Res Ipsa Loquitur"
 
Back
Top Bottom