Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu
Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu![]()
pyramid ana kombe gani?

