ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Ukifika nusu fainali utashangaa kua maisha ni simpleMmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli nini
Jioni hizi propaganda uchwara zitazimwq
Ukifika nusu fainali utashangaa kua maisha ni simpleMmewezaje kuwa bora kuliko Simba na Sundown. Kama sio utapeli nini
Jioni hizi propaganda uchwara zitazimwq
Nikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua YangaUbora wa Simba ni upi haijawahi kuvuka robo kwenye mashindano yoyote?
Fika kwanza final ndio tujadiliNikadhani utasema haijawahi kuchukua kombe kama ilivyochukua Yanga