umenifunza jamboHasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea;
Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili:
• Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha karibu analiwa kofi ama ngumi
• Mwingine hasira huenda miguuni na kupiga teke kilicho mbele yake
• Mwingine huenda mdomoni, maneno anayotoa makali anapata ahueni anatuliza hasira yake.
• Mwingine huenda tumboni, anatafuta chakula anachopenda anakipiga hasa, akishiba anasahau; japo hapa ni hatar sababu atapata obesity na madaktar watamshauri punguza misosi
• Mwingine huenda masikioni, akisikiliza nyimbo, counselling ama aki'share kwa mwenzake hasira inaisha
• Mwingine huwa na uwezo wa kui'ahirisha ndiyo maana biblia inamsifu sana mtu anaeweza ku control hasira yake; anaitwa ni mfano wa mtu autekaye mji
Mithali:16.32
Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa; Na mtu aitawalaye roho yake kuliko mtu atekaye mji
Hasira isipopata pa kuhamia ama kuahirishwa huzalisha kitu inaitwa uchungu, huu ni mlango mkubwa sana wa adui kuingia na kufanya makazi Ndiyo maana mda maalum wa kukaa na hasira kibiblia ni siku moja tu
Jua lisizame....
Alikuchukulia bwana??.mi kuna binti mmoja alinitia hasira mwaka umepita sasa ila hasira zangu nataka nizimalize kwa kumchakata kwa gharama zozote
Uko sahihi,hii ina maana pia kama ni mwanamke umemkosea mumeo ukaona kakupiga na fimbo na makofi ujue yameisha hana hasira tena,ni bora ushukuru kuliko akikaa kimya...Hasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea;
Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili:
• Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha karibu analiwa kofi ama ngumi
• Mwingine hasira huenda miguuni na kupiga teke kilicho mbele yake
• Mwingine huenda mdomoni, maneno anayotoa makali anapata ahueni anatuliza hasira yake.
• Mwingine huenda tumboni, anatafuta chakula anachopenda anakipiga hasa, akishiba anasahau; japo hapa ni hatar sababu atapata obesity na madaktar watamshauri punguza misosi
• Mwingine huenda masikioni, akisikiliza nyimbo, counselling ama aki'share kwa mwenzake hasira inaisha
• Mwingine huwa na uwezo wa kui'ahirisha ndiyo maana biblia inamsifu sana mtu anaeweza ku control hasira yake; anaitwa ni mfano wa mtu autekaye mji
Mithali:16.32
Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa; Na mtu aitawalaye roho yake kuliko mtu atekaye mji
Hasira isipopata pa kuhamia ama kuahirishwa huzalisha kitu inaitwa uchungu, huu ni mlango mkubwa sana wa adui kuingia na kufanya makazi Ndiyo maana mda maalum wa kukaa na hasira kibiblia ni siku moja tu
Jua lisizame....
Itakua jamii ya wapumbavu hiyo.Hasira hukaa kifuani pa mpumbavu.
Kuna jamii fulani, inapenda Sana ugomvi, na silaha yao kubwa no mapanga, huwa wanakunywa dawa za kuongeza hasira.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizo hasira za misosi na kuvunja vitu ni za matajiri. Wewe pangu pakavu huna hata hela ya kununnua mihogo upandwe na hasira za misosi si unatafutiwa kuiba mali za wenyewe
mi kuna binti mmoja alinitia hasira kwa hiyo wewe ni dume!!??? ajabu sana.
mwaka umepita sasa ila hasira zangu nataka nizimalize kwa kumchakata kwa gharama zozote
Hasira ni nguvu hasi inayomjaa mtu na kama sifa ya nguvu/nishati nyingine lazima itafute kitu cha kupokea;
Mtu akiwa nayo automatically inahamia kwenye maeneo fulani fulani ya mwili:
• Mwingine huenda mikononi anapiga kila kilicho mbele yake hasa cha thamani, hapa akiwepo aliyemkasirisha karibu analiwa kofi ama ngumi
• Mwingine hasira huenda miguuni na kupiga teke kilicho mbele yake
• Mwingine huenda mdomoni, maneno anayotoa makali anapata ahueni anatuliza hasira yake.
• Mwingine huenda tumboni, anatafuta chakula anachopenda anakipiga hasa, akishiba anasahau; japo hapa ni hatar sababu atapata obesity na madaktar watamshauri punguza misosi
• Mwingine huenda masikioni, akisikiliza nyimbo, counselling ama aki'share kwa mwenzake hasira inaisha
• Mwingine huwa na uwezo wa kui'ahirisha ndiyo maana biblia inamsifu sana mtu anaeweza ku control hasira yake; anaitwa ni mfano wa mtu autekaye mji
Mithali:16.32
Asiye mwepesi wa hasira ni mwema kuliko shujaa; Na mtu aitawalaye roho yake kuliko mtu atekaye mji
Hasira isipopata pa kuhamia ama kuahirishwa huzalisha kitu inaitwa uchungu, huu ni mlango mkubwa sana wa adui kuingia na kufanya makazi Ndiyo maana mda maalum wa kukaa na hasira kibiblia ni siku moja tu
Jua lisizame....
Nikajua wewe ni mwanamke kumbe ni gudume gwa mbegumi kuna binti mmoja alinitia hasira mwaka umepita sasa ila hasira zangu nataka nizimalize kwa kumchakata kwa gharama zozote
Mbona matukio ya kikatili ya watu wenye hasira hayatokei kwenye jamii ulizozitaja ?Jamii ambazo hula nyama nyekundu kwa wingi au damu / wafugaji ndio zenye watu wengi wenye hasira sana. Jamii Kama wapogo, waluguru, wazaramo na wakwere. Hawa huwa na hasira sana. Tofauti na sisi tunaokula samaki kwa wingi k.v wadigo
Mkuu. Nimetaja haya makabila ya kistaarabu kuebusha Shari. Wala nyama wenyewe wanajijua hata huku wamo.Mbona matukio ya kikatili ya watu wenye hasira hayatokei kwenye jamii ulizozitaja ?