Mkuu lakini kinachojadiliwa hapa si ni sifa za kuwa mwenyekiti wa taifa wa parole?Kumbuka kuwa yeye ameteuliwa kuwa mwenyekiti tu na kwamba kuna makamishna wenye sifa za kutosha wa kumsaidia. Wanaopinga ni wale wasomi uchwara ambao hata wao wenyewe hawajiwezi.