Ifahamu Ndege ya Pan american iliyopotea na kuonekana baada ya miaka 37 Abiria wake wakiwa hai

Escort ingekuwa kazi Bure maana hata hao escort wangepotea nayo. Wasingezuia kupotea ndege kwa mara ya pili!

Sent using Jamii Forums mobile app
Escort sio lazima waipande ndege wanaweza scramble jet zikawaescort mpaka destination yao!.. Wenzetu vitu vya kawaida kupaisha madude yao.
images.jpeg
 
Ilikua ikifanya safari zake kutokea Marekani au United States of America kwenda Miami ..

Ilikua Julai 22 Mwaka 1955..ilipotea kusiko julikana kwa miaka 37 ikaja kuonekana tena nchini Venezuela ..Ila ajabu ikiwa na abiria wale wale wakiwa hawajazeeka, nguo zile zile na sehemu walizokaa zile zile
...walipotua uwanja wa ndege wa Venezuela na kufuatwa na waandishi wa habari , alisikika rubani akisema "msitusogelee .. tunaondoka sasa hivi"

Na kisha baada ya hapo ndege ikaanza safari na haijawahi kuonekana tena hadi hivi leo.

Unaweza kuiona kwa picha ndege hio hapo chini.
IMG_20190403_225941.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikua ikifanya safari zake kutokea Marekani au United States of America kwenda Miami ..

Ilikua Julai 22 Mwaka 1955..ilipotea kusiko julikana kwa miaka 37 ikaja kuonekana tena nchini Venezuela ..Ila ajabu ikiwa na abiria wale wale wakiwa hawajazeeka, nguo zile zile na sehemu walizokaa zile zile
...walipotua uwanja wa ndege wa Venezuela na kufuatwa na waandishi wa habari , alisikika rubani akisema "msitusogelee .. tunaondoka sasa hivi"

Na kisha baada ya hapo ndege ikaanza safari na haijawahi kuonekana tena hadi hivi leo.

Unaweza kuiona kwa picha ndege hio hapo chini. View attachment 1062250

Sent using Jamii Forums mobile app

Bongo Movie hiyo...
 
Ukiuona nitag mkuu au niwekee link niisome hio habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna series inaitwa Manifest ..inaelezea hii story! Japo siamini sana kama ni tukio la kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
Linatia shaka sana kama ni la kweli! Ndio tatizo la kudownload tu habari za internet.
Jiulize kwa nini habari hii imelenga zaidi kwenye hiyo ndege na sio kwa abiria ambapo tungeelezwa japo kuhusu wao wenyewe wanasemaje kuhusu tukio hilo na hata ndugu zao wanasemaje kuhusu kuwaona ndugu zao waliotoweka kwenye uso wa dunia miaka mingi iliyopita!

Sasa mkuu taarifa inasema si waliwaambia wasiaasogelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom