Ifahamu Nchi ya Scotland (United Kingdom)

Ifahamu Nchi ya Scotland (United Kingdom)

Ada kwa vyuo kiukweli sina uzoefu nazo sababu sio area yangu of interests, Ila unaweza ukaangalia Ada za vyuo mwenyewe for international students Kwa miji unayoitaka ndani ya UK,Kwa Glasgow vyuo vikuu nivijuavyo ni vifuatavyo,
1.University of Glasgow
2.Strathclyde university
3. Caledonian university...
Asante sana umenikumbusha enzi hizo nilikuwa kila siku jioni natembea maeneo ya river Clyde, Hydro,etc kwa kifupi nilifurahia maisha Glasgow. Watu ni wastaarabu sana na wakati mwingine nilikuwa najisikia kama kamzungu fulani kwani sijawahi kubaguliwa muda wote nilioishi huko. Labda kwasababu nang’aa wakafikiri ni mwenzao.
 
Mkuu nasikia huko watu wenye elimu yetu hii ya Kibongobongo wanadharaulika, yaani hawawezi kuajiriwa kwenye kampuni zao.
Mkuu sidhani kama nikweli unavyosema,ninavyo jua Mimi mzungu Anaangalia qualification yako pia na utendaji wako wa kazi kulingana na JD yako,na kiukweli kabisa huku ni Kufanya KAZI kweli sio kama bongo ujanja ujanja mwingi,ikiwa KAZI ni masaa nane basi ni masaa manane kweli,na si vinginevyo
 
Ka
Asante sana umenikumbusha enzi hizo nilikuwa kila siku jioni natembea maeneo ya river Clyde, Hydro,etc kwa kifupi nilifurahia maisha Glasgow. Watu ni wastaarabu sana na wakati mwingine nilikuwa najisikia kama kamzungu fulani kwani sijawahi kubaguliwa muda wote nilioishi huko. Labda kwasababu nang’aa wakafikiri ni mwenzao.
Karibu tena Mzee uje uunge juhudi za wabongo majuu, tuwe wengi
 
Haya ndio Mambo yanayotakiwa wabongo tuzungumze kwa lugha ya upendo na kupeans michongo.

Shukrani sanaaa
Jamani Kwa kuongezea Tu,sekta ya upishi huku ina uhaba WA watu,hata MTU ukiwa ni mpishi wa vyakula vya kiafrika basi unapewa visa vizuri tu kama sijakosea,
Wahindi wao wamejazana huku Kwa kutumia mwanya huu,utamkuta muhindi mmoja ana katestaurant uchwara halafu anawaleta wahindi wenzie wengi kama wataalam labda wa kupika tandoori kumbe wanakuja kuosha vyombo,
Tukipata fursa hizi pia tuzitumie ndugu zanguni
 
ukifungua mama ntilie yako huko unipigie assist mkuu nije kukaanga vyapati na miguu ya kuku mtoni.
 
Mkuu sidhani kama nikweli unavyosema,ninavyo jua Mimi mzungu Anaangalia qualification yako pia na utendaji wako wa kazi kulingana na JD yako,na kiukweli kabisa huku ni Kufanya KAZI kweli sio kama bongo ujanja ujanja mwingi,ikiwa KAZI ni masaa nane basi ni masaa manane kweli,na si vinginevyo
Oohh shukrani mkuu
 
~ unaweza kutoa maelezo ya tofauti kati ya ireland ya kaskazini,wales,scotland?
 
Kwa uelewa wangu zote hizo ni Nchi zinazounda UNITED KINGDOM,
Nchi ya Uingereza imeundwa na Jumla ya Nchi NNE ambazo ni,
ENGLAND,SCOTLAND,WALES NA NORTHEN IRELAND,

Binafsi sijawahi kufika NORTHEN Ireland wala Wales,England nshakwenda Sana na hapa Scotland ninapoishi,

Ahsante Kwa kuuliza,ama kama nimekujibu tofauti na makusudio yako,Naomba nieleweshe tafadhali
~ unaweza kutoa maelezo ya tofauti kati ya ireland ya kaskazini,wales,scotland?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna limitation ya vitu vingi kule mkuu but kunafaa kutafuta pesa then unakula bata nchi jirani sheria za kiislam zilizowekwa kule ni ngumu sana unzinzi hawaruhusu, nguruwe huruhusiwi kula na masheria mengine mengi Kama umezoea kujiachia hapakufai kabisa
Huyu mkuu anaetaka kwenda kula bata Brunei hayuko serious,kwa hela gani aliyokuwa nayo akale bata huko wakati watu wa chini tu unakura anadrive gari ya kitajiri ya huku bongo??

Ah wengine wanawachosha tu kwa maswali uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu zote hizo ni Nchi zinazounda UNITED KINGDOM,
Nchi ya Uingereza imeundwa na Jumla ya Nchi NNE ambazo ni,
ENGLAND,SCOTLAND,WALES NA NORTHEN IRELAND,

Binafsi sijawahi kufika NORTHEN Ireland wala Wales,England nshakwenda Sana na hapa Scotland ninapoishi,

Ahsante Kwa kuuliza,ama kama nimekujibu tofauti na makusudio yako,Naomba nieleweshe tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi naomba kuuliza swali moja tu la msingi.
Kuna huu msamiati KUJILIPUA kwa kweli unanipa shida sana kuuelewa japo wengi tunautumia sana.

Maana yake nn?
Mbinu gani zinazoweza kutumika kujilipua?
Baada ya kujilipua je hakuna madhara mtu anayoweza kupata?

Please nieleweshe pengine naweza pata picha nzuri ya kuielewa concept hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaana ya kujiripua ni kuomba hifadhi ya Ukimbizi,under Geneva convention
Kama Unataka kujua maana halisi ya Ukimbizi ingia website ya UNHCR,

Kuna siku moja mtu mmoja aliwahi kua anaandika kitu kwenye simu akiwa mbele yangu,japo si vzr kutazama mambo ya mtu lakini niliona anajinasibisha kua yuko Kigari Rwanda na tulikua nae jijini Mwanza,nikakumbuka tu jinsi wabongo tulivyo

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kuna jamaa mmoja huyo namfahamu alimdanganya mwanamke wake yupo sight katika mjengo wake wakati hata buku mfukoni hana na hana hata kiwanja
 
Nilipoenda Glasgow niliufananisha mpangilio wake kama mji wa Tanga kabisa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Maaana ya kujiripua ni kuomba hifadhi ya Ukimbizi,under Geneva convention
Kama Unataka kujua maana halisi ya Ukimbizi ingia website ya UNHCR,

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu naomba kuuliza tena.

Mara nyingi ukimbizi huwa ni kwa ajili ya wale watokao ktk mataifa yaliyokumbwa au yanayokumbwa na vurugu za mara kwa mara.

Sasa mfano mm nimeingia kwa passport ya kibongo je nitaomba hifadhi ya ukimbizi?

Wakati huku umetoka vizuri na kupewa Visa ukielezea labda dhamira yako ni matembezi au vinhinevyo halafu ukifika huko unabadilisha maneno au inakuwaje hapa please nipe maujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli unachosema mkuu kuna baridi kali. Mara ya mwisho niliingia kupitia inverness airport.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom