Sasa mkuu naomba kuuliza tena.
Mara nyingi ukimbizi huwa ni kwa ajili ya wale watokao ktk mataifa yaliyokumbwa au yanayokumbwa na vurugu za mara kwa mara.
Sasa mfano mm nimeingia kwa passport ya kibongo je nitaomba hifadhi ya ukimbizi?
Wakati huku umetoka vizuri na kupewa Visa ukielezea labda dhamira yako ni matembezi au vinhinevyo halafu ukifika huko unabadilisha maneno au inakuwaje hapa please nipe maujanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri uzi wa Mtanzania aliyepo Brunei...
[emoji23] unang'aaa kama bati mpya itakuwa mafuta ya kupikia hayo unayojipaka...Asante sana umenikumbusha enzi hizo nilikuwa kila siku jioni natembea maeneo ya river Clyde, Hydro,etc kwa kifupi nilifurahia maisha Glasgow. Watu ni wastaarabu sana na wakati mwingine nilikuwa najisikia kama kamzungu fulani kwani sijawahi kubaguliwa muda wote nilioishi huko. Labda kwasababu nang’aa wakafikiri ni mwenzao.
Hapo nimekusoma mkuu vizuri.Kuwa Mkimbizi sio lazima itokee katika Nchi yenye vita,unaweza ukaja na viza ya matembezi au kusoma na bado ukaomba hifadhi ya ukimbizi,
Kuna tofauti tofauti ya ukimbizi,mfano ukimbizi wa kisiasa na vyenginevyo,
Au kwa utofauti wa Sheria katika Nchi mbili,unayotoka na unayoomba hifadhi,
Mfano:- Bongo kuvaa magwanda ya jeshi ni kinyume cha sheria
Ila UK si kinyume cha Sheria,
Just simple unaweza ukasema Una kesi mahakamani sababu ulivaa nguo ya kijeshi uliyonunua mtumbani kwahiyo wakakukamata na kupelekwa mahakamani ili ufungwe,Kwa mantiki hiyo utaomba serikali ikuhifadhi dhidi ya Nchi yako,
NOTE: Baadhi ya kesi zinahitaji ushahidi wa unachokisema ili uweze kuaminika,
Shukraan na karibu tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekusoma mkuu vizuri.
Sasa hebu niongeze hapa mm kimuonekano bro nikikuambia ni msomali au Muethiopia au watu wa pembe ile ya Africa Ethiopia na Eritrea hukatai ila sina ufahamu wa pembe zote hizo na wala sina unasaba na watu wa kule na sijui chochote zaidi ya kusoma tu kwenye Jiografia sasa kama nikitaka kujilipua huko nitumie mbinu gani???maana najua wazungu kiujanja wako mbele yetu mara 100 lakini huku pia niko kwa Government employment ila kiukweli natamani kuchomoka nikipata upenyo.Mkuu please share kidogo na mm ktk hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Scotland mchezo maarufu ni kandanda,kuna timu mbili watani wa jadi kama Simba na yanga,nazo ni Celtic na Rangers ambayo inafundishwa na Steven Gerrard,Ungejazia kidogo na maswala ya utamaduni wao pamoja na mchezo maarufu kwako ingependeza sana Mkuu. Anyway taarifa yako nimeipenda.
@Adabwashi unaeleza vizuri sana mkuu...
Vipi maswala ya kidini huko..unaweza zamia kwa njia ya taasisi za kidini?
Duh! Kwa swali hili sitashangaa sampuli ya fenesi kusoma covid -19 positive! Elimu yetu ya Tanzania ina matatizo sana, miaka 4 + internship ya mwaka mmoja bado msomi anauliza swali kama hili! Nakuomba sana radhi mkuu kama nitakukwaza kwa maoni yangu....Mkuu kwa mtu aliesomea nursing Udom degree anaweza pata kazi huko...?
Lakin pia vip matumizi kwa mwezi ukiwa mtu wa kula simple,kuvaa simple pia
(Yan kufanya vitu vya muhimu tu bila starehe inaweza kuwa kiasi gani kwa mwezi)..?
Nashukuru in advance kwa majibu
Kwa hapo sisi walimu hatuna chetuNawa encourage Sana watanzania Wenye taaluma mbao wanahisi bongo hapawafai au Wenye uzalendo mdogo,Waombe kufanya kazi nje ikiwemo UK, Ila kimombo nacho huwa wanakutahini kabla kama sikosei, wanaojua zaidi wataeleza,
Sent using Jamii Forums mobile app