- Thread starter
- #21
Kwa Kada za Afya ni Bora kuomba direct kwenye Shirika la Afya la Uingereza,Google NHS website ikisha career,kuna uhaba Mkubwa wa Kada za Afya, pia waweza omba hospital za private, hii Sana Sana London,kuna Mdada mmoja mganda ameomba private hospital amepata position, na mshahara anakula £5,000 monthly, halafu kapewa visa ya miaka Mitano aingie yeye na watoto wake wawili na ni renewable,Ila yeye alideclare ni single mama,
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh toa muongozo unaomba vip izo kazi mfano ma engeneer na watu wa afya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app