Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ifahamu Maua Seminary katika picha

Hujasoma
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale

Shatani hana dini, turudi kwenye Mada. Shule hiyo iko vizuri sana

Naam, kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani. Huo ndiyo ukweli.

Ukitaka ukweli fanya comparison, utaona kuwa ni ajabu kubwa ikitokea mambo kama hayo msikitini.

Lakini on the other hand, utaona ni ajabu kubwa sana kama mambo kama hayo hayajatokea kanisani. Tena si Tanzania tu, ni uozo uliopo makanisa ya dunia nzima, jisomee:

Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hujasoma
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale

Shatani hana dini, turudi kwenye Mada. Shule hiyo iko vizuri sana

Naam, kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani. Huo ndiyo ukweli.

Lakini pia ujue kuwa katika hali ya kuutazama ukweli, ukikutana na kitu kama hicho msikitini hata wewe usiye Muislam unaona ni ajabu kubwa sana kwani nnauhakika unaijuwa misimamo ya Uislam na Waislam.

Lakini on the other hand ukitazama makanisani kama hujaona mambo ya upuuzi kama hayo kutokea utaona ni ajabu kubwa sana kwani uozo makanisani ndiyo pake.

Tena si Tanzania tu, hilo ni tatizo kubwa kwa jamii zote za kikristo duniani, jisomee:

Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia

Unless uwe mtetea maovu tu ndiyo utaona kuwa hiyo si kansa iliyopo makanisani.
 
FF una chuki saaaaaaaaaaaaaaaaaana na Ukristo, unaonaje ukahamia Iran?
 
Naam, kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani. Huo ndiyo ukweli.

Lakini pia ujue kuwa katika hali ya kuutazama ukweli, ulikutana na kitu kama hicho msikitini hata wewe usiye Muislam unaona ni ajabu kubwa kwani nnauhakika unaijuwa misimamo ya Uislam na Waislam.

Lakini on the hand ukitazama makanisani kama hujaona mambo ya upuuzi kama hayo kutokea utaona ni ajabu kubwa sana kwani uozo makanisani ndiyo pake.

Tena si Tanzania tu, hilo ni tatizo kubwa kwa jamii zote za kikristo duniani, jisomee:

Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia

Unless uwe mtetea maovu tu ndiyo utaona kuwa hiyo si kansa iliyopo makanisani.
Sijawahi kuona msimamo wowote Labda unafanyikia gizani. Kabla ya msimamo kunaanza kujitambua. Na mwanadamu anayejitambua hawezi kuingiza hbr kama zako kwenye thread hii. Anaanzisha yk na huko utajibiwa vzr tu hoja zako. Misimamo iliishia June 632
 
Hongera .. travela na explorer wetu !!! natamani nipaone mubashara !!

Zamiiii unaanza uchokozi eeehh.......

Of course Kasie anapenda kusafiri sanaaa, sasa lini tusafiri wote kuitafuta hiyo shule hapo na kupiga picha......

If you are interested lets explore the world..... we live once you know..... au uko allergic na safari?

(mubashara ndo wapi?) kiswahili kigumu ujue kuliko kizungu...... hehehehee
 
Aisee ulikuwa darasa moja nyuma yangu.
Chagua kati ya zawadi hizi; mbudi, skonzi, nyali, mandomba nk.

Daaah sio kwa kejeli ni kwa mtazamo tuu...... wadogo zangu wengi kweeeli kweeli, ningekuwa nimefurukuta enzi za uschana wangu nyie mngekuwa last born wangu.

Kasie.
 
Zamiiii unaanza uchokozi eeehh.......

Of course Kasie anapenda kusafiri sanaaa, sasa lini tusafiri wote kuitafuta hiyo shule hapo na kupiga picha......

If you are interested lets explore the world..... we live once you know..... au uko allergic na safari?

(mubashara ndo wapi?) kiswahili kigumu ujue kuliko kizungu...... hehehehee
Kassie, mie siyo mchokodhi bhana...

acha nikupe maana ya neno Mubashara ni neno la kiarabu yaani "kubashiria jambo live" na kwa kiingereza ni LIVE on air.. sasa ukiletewa ujumbe live hewani wasema Mubashara !! Nimesikia hapo TZ kuna channel ya TV inalitumia neno hilo !!

Sasa turejee katika Exploration.... wee nipeleke maana mie ni kipofu hupelekwa tu....
 
Tayari jibu limeshapatikana wewe unakalia kusema Lushoto tu bila kusoma post za nyuma.
1469523822355.jpg
 
Kassie, mie siyo mchokodhi bhana...

acha nikupe maana ya neno Mubashara ni neno la kiarabu yaani "kubashiria jambo live" na kwa kiingereza ni LIVE on air.. sasa ukiletewa ujumbe live hewani wasema Mubashara !! Nimesikia hapo TZ kuna channel ya TV inalitumia neno hilo !!

Sasa turejee katika Exploration.... wee nipeleke maana mie ni kipofu hupelekwa tu....

Hhahahahahaa yeah nilisikia na ilikuwa ITV, ile siku ya chama kubwa kuchagua mwenyekiti wao.

Unaona sasa ulivyo mtundu wa kuweka maneno magumu magumu hahhahhahaaaa

Nikikupeleka inabidi ukubaliane tuu na hali na mahali nnapokupeleka maana Kasie ni zaidi ya mwendo kasi maana ni fast and furious.......

Ntakupeleka Lushoto tuka explore the mother nature of Tanga in Nyika Land ..........

Hapo tutapata wasaa wa kuwa mubashara Kasie na Zammi....... au waonajee??
 
Na'am kassie, itifaki kuzingatiwa.....
 
Daaah sio kwa kejeli ni kwa mtazamo tuu...... wadogo zangu wengi kweeeli kweeli, ningekuwa nimefurukuta enzi za uschana wangu nyie mngekuwa last born wangu.

Kasie.

Unafaa kwa chakula pia. Ilimradi inapenya.
 
Back
Top Bottom