Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ila pia nakumbuka kabla hatujaondoka form 4 shule ya sec ya Okaoni pale kibosho tulitengeneza mazingira ya shule kwa kushirikiana na form 3 waliokuwapo pale, tukawapa moyo wanafunzi wengine wa vidato vya chini nao wakajumuika alongside Teacher Kessy alituincourage sana. Namshukuru Mungu nikienda pale shuleni sasa ivi najiona niko peponi vile miti maua ukoka omg! Nafikir kwa anayeijua aliyetoka pale ataamini nayoyasema it's all about passion. Najivunia uongozi wa shule pale ni moja Kati ya matunda ya shule za kata ila ni zaidi ya kata

Meals. Kwa week
Wali nyama
Ugali nyama mboga za majan
Wali maharage
Makande
Ugali maharage na mboga za majan
Na kila asubuhi uji wa sukari
Only in Kilimanjaro Tanzania hata watu wakifaul kule jamani waacheni mazingira ya kusomea ni mazuri yameandalika.
 
Unaonesha huna habari za matokeo yaliyotangazwa juzi juzi tu.

Ungeelewa maana ya madrasa ni nini.

Punguani wahed.
10 BORA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015.



1.Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
2.Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam
3.Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani
4.Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya
5.Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro
6.Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani
7.Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
8.Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa
9.Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
10.Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys


HIZI NDIO SHULE KUMI BORA ZILIZOONGOZA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015


1.Kaizirege mkoa wa Kagera
2.Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
3.Marian Boys mkoa wa Pwani
4.St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
5.Abbey mkoa wa Mtwara
6.Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
7.Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
8.Marian Girls mkoa wa Pwani
9.Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015


Manolo mkoa wa Tanga
Chokocho mkoa wa Pemba
Kwalugulu mkoa wa Tanga
Relini mkoa wa Dar es salaam
Mashindei mkoa wa Tanga
Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
Vudee mkoa wa Kilimanjaro
Mnazi mkoa wa Tanga
Ruhembe mkoa wa Morogoro
Magoma mkoa wa Tanga.
 
Back
Top Bottom