Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ifahamu Maua Seminary katika picha

Unansoma kwa uoga.
10 BORA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015.

1.Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
2.Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam
3.Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani
4.Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya
5.Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro
6.Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani
7.Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
8.Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa
9.Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
10.Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys

HIZI NDIO SHULE KUMI BORA ZILIZOONGOZA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

1.Kaizirege mkoa wa Kagera
2.Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
3.Marian Boys mkoa wa Pwani
4.St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
5.Abbey mkoa wa Mtwara
6.Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
7.Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
8.Marian Girls mkoa wa Pwani
9.Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

Manolo mkoa wa Tanga
Chokocho mkoa wa Pemba
Kwalugulu mkoa wa Tanga
Relini mkoa wa Dar es salaam
Mashindei mkoa wa Tanga
Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
Vudee mkoa wa Kilimanjaro
Mnazi mkoa wa Tanga
Ruhembe mkoa wa Morogoro
Magoma mkoa wa Tanga.
 
Shule nyingi za kikatoliki mazingira yake ni mazur sana ...Ni urithi wa wamisionari.....Kama MTU ana picha za Kigonsera atupie nako ni pazur mno.
 
10 BORA YA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015.

1.Nyakaho Marungu kutoka Baobab Pwani
2.Elton Sadock Jacob kutoka Feza Boys Dar es salaam
3.Samwel M Adam kutoka Marian Boys Pwani
4.Fainess John Mwakisimba kutoka kutoka St Francis Girls Mbeya
5.Mugisha Reynold Lukambuzi kutoka Bendel Memorial Kilimanjaro
6.Paul W Jijimya kutoka Marian Boys Pwani
7.Angel Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
8.Atuganile Cairo Jimmy kutoka Canossa
9.Jenifa Lundgreen Mcharo kutoka St Francis Girls Mbeya
10.Mahmoud Dadi Bakili kutoka Feza Boys

HIZI NDIO SHULE KUMI BORA ZILIZOONGOZA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

1.Kaizirege mkoa wa Kagera
2.Mwanza Alliance mkoa wa Mwanza
3.Marian Boys mkoa wa Pwani
4.St. Francis Girls mkoa wa Mbeya
5.Abbey mkoa wa Mtwara
6.Feza Girls mkoa wa Dar es salaam
7.Bethel sabs Girls mkoa wa Iringa
8.Marian Girls mkoa wa Pwani
9.Feza Boys mkoa wa Dar es laam.

SHULE 10 ZILIZOSHIKA MKIA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

Manolo mkoa wa Tanga
Chokocho mkoa wa Pemba
Kwalugulu mkoa wa Tanga
Relini mkoa wa Dar es salaam
Mashindei mkoa wa Tanga
Njelekela Islamic Seminary mkoa wa Kigoma
Vudee mkoa wa Kilimanjaro
Mnazi mkoa wa Tanga
Ruhembe mkoa wa Morogoro
Magoma mkoa wa Tanga.

Aliyeongoza Kidato cha Sita 2015, Ramadhani Gembe - wavuti
 
Na hukohuko kwenye hizo shule ndiyo tulisoma kwenye habari za kimataifa watoto shule nzima wanalawitiana na ma padri.

Ushahidi huu hapa:

He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Nakuheshim sana Faiza ila kuna mambo kwa kwel unayafanya humu jukwaan hayapendez ...mf nilichokiandika mm NA hicho ulichokiandika ni vitu viwil tofaut ....suala la kubaka ama kulawiti ni udhaifu wa binadamu hata ww pengine kuna siku utabaka mtu ...kwan ni Mara ngapi tunasikia hata hao mashekh wanalawit watoto....ikitokea haimaanishi wote wako hivyo NA labda ni Sera ya msikiti..madrasa ama kanisa Bali ni udhaifu wake yy kama yy....Sina hakika kama HIV ndivyo ulivyo huwa nahis kama unajichetuaga tu....Badilika mkuu
 
Back
Top Bottom