Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ifahamu Maua Seminary katika picha

Ulisema unatoa zawadi kwa atakae patia kutaja hilo eneo
Naona na uzi umeshaubatiza jina lingine...vp umeshamzawadia aliyepatia jibu?
 
Mkuu ukipata nafasi tupia mapicha ya hospitali ya Kibosho.
 
Ilishika namba ngp kitaifa!?
1469557827853.jpg
 
Bavaria Maua Semiri haipo Marangu ipo Kilema. Sijui kama kuna wadau wamekusahihisha ila kusema ipo Marangu sio sawa ukweli ipo Kilema pamoja na St. James Seminary. Vinginevyo hongera kwa kuonyesha kijijini kwetu kulivyo kutamu.
 
Ipo kijiji cha Maua mkuu. Kilema ni kata nadhani.
 
Nimezifuma hizi sehemu. nani anaweza kuwatambua hawa?
Maua team.jpg
Maua.jpg
 
Back
Top Bottom