Pamoja na kukipamba sana bado hakistahili kubebwa na Boeing 787 Dreamliner. Dreamliner ilipaswa ibebe kitu unique na kikubwa kwa sababu ni ndege ya masafa marefu. Rubondo ingekuwa kwenye Bombardier ingekuwa sawa kabisa.
Watanzania bado tuna tatizo kwenye branding and promotion. Ninachikiona ni kufanya matangazo ya kumridhisha Rais kwa vile anatoka kanda hiyo.
Hakuna mtalii atakayetoka India au Guangzhou kwa ajili ya kwenda Rubondo kuja kuviona hivyo vitu ulivyo vitaja mtoa mada.
Tuendelee kupaza sauti ya kuitangaza Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti. Ni kweli Kilimanjaro nalo limeandikwa, ila badala ya Rubondo basi tungeendelea kuandika vilele vya Mawenzi au Kibo.
Ushauri; ATCL ihusishe Wizara ya Utalii au taasisi zilizo chini yake kama TTB au TANAPA kwenye branding.
Twende wote Money!!Mimi sikua nakifahamu...na kwa vile niko huku huku nov ntaenda mzee baba
Mamba samaki mtamu sana kwa chai ya maziwaUmesema mamba ni wengi sana huko
Ile iliyopewa Dodoma ifutee iwekwe serousMm naona ni bora vvutio vya mikumi na selou zingepewa promo zaidi hivyo kama ndege hiyo ingepewa jina la mojawapo wa vivutio hivyo ingekuwa sawa.
Wachagga wanapinga ndege kuitwa Rubondo
"Kiko kusini magharibi mwa ziwa victoria" mkuu sema kipo mkoa gan uelewekw vzr.
Acheni ukanda wa kishamba na ulimbukeni, Tanzania ina vivutio vya kitalii kila kanda ya nchi ila wageni 80% wanaenda kaskazini, kwa hiyo hutaki maeneo mengine ya nchi yatangazwe kisa nini? Pumbavu ninyiKwanza umejipambanua ni namna gani ulivyo mjinga hata kuku jibu ni kupoteza muda.
Ninarudia kusema awamu hii ya 5 kila wizara inajaribu kujiweka karibu na kanda ya ziwa esp. GeitaKumbe umewaza km mm..nimeshangaa sn kuiita Rubondo ...mbona haifit kbs jamani?kuna mambo senstive sana ya kujiadvertise kuliko kitafutiza tu vitu tudogoooo
Kwahiyo Ruaha ipo kaskazini !.Kenge weweAcheni ukanda wa kishamba na ulimbukeni, Tanzania ina vivutio vya kitalii kila kanda ya nchi ila wageni 80% wanaenda kaskazini, kwa hiyo hutaki maeneo mengine ya nchi yatangazwe kisa nini? Pumbavu ninyi
Huko mbona hatusikii juhudi za serikali ya awamu ya 5 ya Dr.Shein?Zijazo Mtukumbuke huku Zanzibar
Maana hata sisi katika Utalii tupo vema kuliko hata Rubondo
Yes indeed,very much blessed...Tanzania we are very much blessed.
God bless our Motherland.
Hv wazir wa utalii hayupo humu? #Mod mtag wazirSauti ya Mnyonge, wewe umejitahidi sana kukielezea kisiwa cha Rubondo na Hifadhi yake kuliko wahusika wanaotegemewa kufanya hivyo.
Sijui kama wewe ni kati ya hao wahusika.
Kuipa ndege jina la hifadhi haiwezi kuwa mbadala wa kazi kubwa inayotakiwa kufanywa ili kuiuza hifadhi kwa watalii wahusika.
Ukweli ni kwamba, unapoamua kulitangaza jina la sehemu unayotaka watu waitembelee kwa wingi, ni lazima ufanye maandalizi makubwa kuhusu habari unayotaka watu hao wazijue. Kuweka tu jina kwenye ndege halafu huna maelezo yanayokidhi hata kwenye mtandao wako "Utalii" sio kazi nzuri.
Nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Wizara, sikuona kitu chochote kilichotoa habari ya ziada kuhusu hifadhi hiyo, zaidi ya habari zinazojulikana na zimasambaa sehemu mbalimbali.
Wakati huu ilipaswa pawepo na ukurasa maalum wenye taarifa maalum tu kuhusu hifadhi hiyo, habari kama ni vivutio vipi hasa vinavyowavutia watu wengi wanaotembelea huko, utofauti wake na mahali kwingine; na ni njia zipi rahisi za kufika huko, na mambo mengine mhimu yakielezwa kwa mhitasari.
Sauti ya Mnyonge, kama wewe ni mhusika, fanya hivyo, au kama ni MTanzania tu kama mimi, lakini unajua watu wanaohusika, wafikishie taarifa hiyo, na waifanyie kazi.
Aah sio mpya alianza na JkHuko mbona hatusikii juhudi za serikali ya awamu ya 5 ya Dr.Shein?
Ukianza na Jk si ndo juhudi zako zinatakiwa ziwe nyingi kuliko mtu mpya? Anyway nampenda yule mzee wala hapendi kiki yupo baridiiiiiii kama YangaAah sio mpya alianza na Jk
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye... Mithali 26:4We funza kweli umejazwa na ukanda tu idiot
Halafu Donald Trump akisema African Countries belong to the Shithole continent tunakasirika. Watendaji wamekalia kujikomba tu kwa MekoWANAJARIBU KUMPENDEZA RAIS KWA KUANDIKA JINA LA NATIONAL PARK ILIYOPO KWENYE ENEO LAKE. KWA TAARIFA YENU, KISIWA CHA RUBONDO HAKINA HADHI YOYOTE YA UTAMBULISHO WA UTALII WA NCHI YETU! NI SAWA NA KISIWA KIDOGO CHA SAA NANE....HAKUNA KITU! ANGALAU WANGEANDIKA GOMBE STREAM NINGEWAELEWA, HIYO HIFADHI YA GOMBE IMEFANYA NCHI YETU IFAHAMIKE KUTOKANA NA SOKWE NA MTAFITI WAKE DR. JANE GOODHALL, NDEGE HIYO INAYOENDA MASAFA YAANI NJE (KAMA NI KWELI} ANGALAU INGEPEWA JINA LA SERENGETI, SELOUS, MIKUMI AU RUAHA(HIFADHI KUBWA ZAIDI NCHINI NA MAARUFU PIA) KULIKO HIYO RUBONDO ISLAND AMBAYO NI HIFADHI YA DARAJA LA TATU.....YAANI WAMEACHA HIFADHI ZA DARAJA LA KWANZA HALAFU WANAKIMBIZANA NA ZA DARAJA LA CHINI....KISA KUMPENDEZA RAIS...AIBU. WATALII GANI WATAKUJA RUBONDO KUANGALIA HIYO ZOO? AU NDIYO MAMBO YA "CHARITY BEGINS AT HOME"
TUMEONA INTERNATIONAL AIRPORT KWENYE KIJIJI, CRBD BANK KUBWA YENYE HADHI YA MKOA, UWANJA MKUBWA WA KISASA UNAKUJA(CHATO HAKUNA TIMU LABDA ZA MCHANGANI), BARABARA ZENYE TRAFFIC LIGHT INGAWA HAKUNA MAGARI NA MENGINE MENGI YANAKUJA. MWAMBIENI HUYO RAIS ATUMIE FEDHA KWA UANGALIFU NA KWA BUSARA.
Bado haitoshi, naongea from a professional perspective and business exposure. Hatujautangaza cha kutosha Mlima Kilimanjaro kama Wakenya walivyo utangaza. We need to give a big shout mpaka dunia ijuwe. Watalii wanaokuja bado wanadhani Mlima uko Kenya.Mkuu ATCL ndege zote slogan ni "The wings of kilimanjaro" kwahyo kilimanjaro tayari tumeisha itangaza wacha tutangaze na mengine
Tusichoke kupiga kelele hata kama Buk 7 wa Lumumba wanatupinga kwa kutetea matumbo yao.Haya ni maandalizi ya kusaikolojia, inayofuata itakuwa Bugiri-Chato