Ifahamu Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo

Pamoja na kukipamba sana bado hakistahili kubebwa na Boeing 787 Dreamliner. Dreamliner ilipaswa ibebe kitu unique na kikubwa kwa sababu ni ndege ya masafa marefu. Rubondo ingekuwa kwenye Bombardier ingekuwa sawa kabisa.

Watanzania bado tuna tatizo kwenye branding and promotion. Ninachikiona ni kufanya matangazo ya kumridhisha Rais kwa vile anatoka kanda hiyo.

Hakuna mtalii atakayetoka India au Guangzhou kwa ajili ya kwenda Rubondo kuja kuviona hivyo vitu ulivyo vitaja mtoa mada.

Tuendelee kupaza sauti ya kuitangaza Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti. Ni kweli Kilimanjaro nalo limeandikwa, ila badala ya Rubondo basi tungeendelea kuandika vilele vya Mawenzi au Kibo.

Ushauri; ATCL ihusishe Wizara ya Utalii au taasisi zilizo chini yake kama TTB au TANAPA kwenye branding.
Haya ni maandalizi ya kusaikolojia, inayofuata itakuwa Bugiri-Chato
 
WANAJARIBU KUMPENDEZA RAIS KWA KUANDIKA JINA LA NATIONAL PARK ILIYOPO KWENYE ENEO LAKE. KWA TAARIFA YENU, KISIWA CHA RUBONDO HAKINA HADHI YOYOTE YA UTAMBULISHO WA UTALII WA NCHI YETU! NI SAWA NA KISIWA KIDOGO CHA SAA NANE....HAKUNA KITU! ANGALAU WANGEANDIKA GOMBE STREAM NINGEWAELEWA, HIYO HIFADHI YA GOMBE IMEFANYA NCHI YETU IFAHAMIKE KUTOKANA NA SOKWE NA MTAFITI WAKE DR. JANE GOODHALL, NDEGE HIYO INAYOENDA MASAFA YAANI NJE (KAMA NI KWELI} ANGALAU INGEPEWA JINA LA SERENGETI, SELOUS, MIKUMI AU RUAHA(HIFADHI KUBWA ZAIDI NCHINI NA MAARUFU PIA) KULIKO HIYO RUBONDO ISLAND AMBAYO NI HIFADHI YA DARAJA LA TATU.....YAANI WAMEACHA HIFADHI ZA DARAJA LA KWANZA HALAFU WANAKIMBIZANA NA ZA DARAJA LA CHINI....KISA KUMPENDEZA RAIS...AIBU. WATALII GANI WATAKUJA RUBONDO KUANGALIA HIYO ZOO? AU NDIYO MAMBO YA "CHARITY BEGINS AT HOME"
TUMEONA INTERNATIONAL AIRPORT KWENYE KIJIJI, CRBD BANK KUBWA YENYE HADHI YA MKOA, UWANJA MKUBWA WA KISASA UNAKUJA(CHATO HAKUNA TIMU LABDA ZA MCHANGANI), BARABARA ZENYE TRAFFIC LIGHT INGAWA HAKUNA MAGARI NA MENGINE MENGI YANAKUJA. MWAMBIENI HUYO RAIS ATUMIE FEDHA KWA UANGALIFU NA KWA BUSARA.
 
Haya ni maandalizi ya kusaikolojia, inayofuata itakuwa Bugiri-Chato
Tena hiyo titaiandika mpaka kwenye viti vya kukaa zombies mtahara damu miaka hii

Lol mgonjwa wa ujerumani lazima awape Ebola
 
Kwa ukubwa wa ndege ilitakiwa ipewe jina la Ruaha ambayo ni mbuga kubwa kuliko zote Tanzania na ya pili baran afrika
Rubondo ni kisiwa chenye mbuga kikubwa kuliko vyote Africa vilevile
 
Ooh Seregeti.. Sijui ndo utaandikwa kwenye BOMBADIA ilhali hadhi yako ni ya Airbus A380 ambayo haizalishwi tena?

God shall lead your way and no one on Earth shall compete with you.

Hawakukosea kukueeka mkoani Mara. Where great minds resides.
Kwanini Rubondo ipewe kipaumbele?! Inawezekana kuna watu wanafanya mambo kumfurahisha mtu fulani kumbe kwa kufanya hivyo wakawa wanaharibu.
 
Mkuu umenifilisi maneno .Ni ajabu sana kuacha mbuga za maana na zenye majina makubwa kama Ruaha,Mkomazi ambako wapo Faru wengi kuliko mbuga zote Tanzania,Ngorongoro,Katavi,Tarangire..... eti Rubondo ambayo inatembelewa na Wageni wachache na ni mbuga ndogo hata 2% ya wageni hawafiki.
Sasa si ndio maana inatangazwa? Mbwiga hamna akili kabisa hata maana ya promotion hamjui
 
Seronera siyo hifadhi. Ni sehemu ya the great Serengeti.

Gombe ipo tayari kwenye one of the Bomberdiers.

Mikumi Gombe na Rubondo wana hadhi sawa tu kama kitulo na saadani.
Hata kama ipo still tuna vivutio vikubwa by hierarchy vingi kuliko Rubondo. Think about Mikumi, Ruaha, Gombe, Seronera etc.

Hiyo Rubondo hata Mtanzania wa kawaida hajui kama siyo mwenyeji wa lake zone ndiyo maana nimependekeza kuwa Bombardier ndiyo ingehusika kuwatangazia Wa Tanzania kwanza kwa vile yenyewe trip zake ni za humu humu Tanzania.
 
Katavi na ngoringoro zishapewa kipaimara. Zinaruka angani sheikh.
Mkuu umenifilisi maneno .Ni ajabu sana kuacha mbuga za maana na zenye majina makubwa kama Ruaha,Mkomazi ambako wapo Faru wengi kuliko mbuga zote Tanzania,Ngorongoro,Katavi,Tarangire..... eti Rubondo ambayo inatembelewa na Wageni wachache na ni mbuga ndogo hata 2% ya wageni hawafiki.
 
Seronera siyo hifadhi. Ni sehemu ya the great Serengeti.

Gombe ipo tayari kwenye one of the Bomberdiers.

Mikumi Gombe na Rubondo wana hadhi sawa tu kama kitulo na saadani.
Hapana, Gombe na Rubondo ni Grade 3 park, Mikumi ni grade 2
 
Ndege yetu mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner itakayowasili mchana wa leo imepewa jina la kisiwa cha Rubondo 'Rubondo Island'.
Sauti ya Mnyonge, wewe umejitahidi sana kukielezea kisiwa cha Rubondo na Hifadhi yake kuliko wahusika wanaotegemewa kufanya hivyo.
Sijui kama wewe ni kati ya hao wahusika.

Kuipa ndege jina la hifadhi haiwezi kuwa mbadala wa kazi kubwa inayotakiwa kufanywa ili kuiuza hifadhi kwa watalii wahusika.
Ukweli ni kwamba, unapoamua kulitangaza jina la sehemu unayotaka watu waitembelee kwa wingi, ni lazima ufanye maandalizi makubwa kuhusu habari unayotaka watu hao wazijue. Kuweka tu jina kwenye ndege halafu huna maelezo yanayokidhi hata kwenye mtandao wako "Utalii" sio kazi nzuri.

Nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Wizara, sikuona kitu chochote kilichotoa habari ya ziada kuhusu hifadhi hiyo, zaidi ya habari zinazojulikana na zimasambaa sehemu mbalimbali.

Wakati huu ilipaswa pawepo na ukurasa maalum wenye taarifa maalum tu kuhusu hifadhi hiyo, habari kama ni vivutio vipi hasa vinavyowavutia watu wengi wanaotembelea huko, utofauti wake na mahali kwingine; na ni njia zipi rahisi za kufika huko, na mambo mengine mhimu yakielezwa kwa mhitasari.

Sauti ya Mnyonge, kama wewe ni mhusika, fanya hivyo, au kama ni MTanzania tu kama mimi, lakini unajua watu wanaohusika, wafikishie taarifa hiyo, na waifanyie kazi.
 
Pamoja na kukipamba sana bado hakistahili kubebwa na Boeing 787 Dreamliner. Dreamliner ilipaswa ibebe kitu unique na kikubwa kwa sababu ni ndege ya masafa marefu. Rubondo ingekuwa kwenye Bombardier ingekuwa sawa kabisa.

Watanzania bado tuna tatizo kwenye branding and promotion. Ninachikiona ni kufanya matangazo ya kumridhisha Rais kwa vile anatoka kanda hiyo.

Hakuna mtalii atakayetoka India au Guangzhou kwa ajili ya kwenda Rubondo kuja kuviona hivyo vitu ulivyo vitaja mtoa mada.

Tuendelee kupaza sauti ya kuitangaza Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti. Ni kweli Kilimanjaro nalo limeandikwa, ila badala ya Rubondo basi tungeendelea kuandika vilele vya Mawenzi au Kibo.

Ushauri; ATCL ihusishe Wizara ya Utalii au taasisi zilizo chini yake kama TTB au TANAPA kwenye branding.
Huihui2, kama hawatakusoma uliyoandika hapa, hawastahili kabisa kuwa kwenye kazi hizo. Nilikuwa sijakusoma hapa kabla ya kuweka mawazo yangu hapo juu. Naona yote yanakwenda sawia.
 
'Thamini baskeli yako kuliko Land Cruiser ya Mo Dewji wala Lexus ya Bakhresa
Hio baiskeli hako itakupeleka popote uendapo'

Wise words,big up.
Ndege yenu,,!!!!
Hebu pungukiwa mia5 kwenye nauli ya hio ndege unayosema yenu,uone kama utapewa tiket
Thamini baskeli yako kuliko Land Cruiser ya Mo Dewji wala Lexus ya Bakhresa
Hio baiskeli hako itakupeleka popote uendapo
Acheni kujikomba komba kjpita kiasi[emoji849]
 
Pamoja na kukipamba sana bado hakistahili kubebwa na Boeing 787 Dreamliner. Dreamliner ilipaswa ibebe kitu unique na kikubwa kwa sababu ni ndege ya masafa marefu. Rubondo ingekuwa kwenye Bombardier ingekuwa sawa kabisa.

Watanzania bado tuna tatizo kwenye branding and promotion. Ninachikiona ni kufanya matangazo ya kumridhisha Rais kwa vile anatoka kanda hiyo.

Hakuna mtalii atakayetoka India au Guangzhou kwa ajili ya kwenda Rubondo kuja kuviona hivyo vitu ulivyo vitaja mtoa mada.

Tuendelee kupaza sauti ya kuitangaza Kilimanjaro, Ngorongoro na Serengeti. Ni kweli Kilimanjaro nalo limeandikwa, ila badala ya Rubondo basi tungeendelea kuandika vilele vya Mawenzi au Kibo.

Ushauri; ATCL ihusishe Wizara ya Utalii au taasisi zilizo chini yake kama TTB au TANAPA kwenye branding.
Mkuu ATCL ndege zote slogan ni "The wings of kilimanjaro" kwahyo kilimanjaro tayari tumeisha itangaza wacha tutangaze na mengine
 
Kwa wenyeji wa mwanza watakuwa wanakumbuka pembeni ya soko kuu kulikuwa na bango kubwa la kuitangaza Rubondo island kwa wageni lilikuwa limeandikwa hivi
"USIONDOKE MWANZA KABLA HAUJAFIKA RUBONDO"
 
Ndio unaijua sasa
Hata kama ipo still tuna vivutio vikubwa by hierarchy vingi kuliko Rubondo. Think about Mikumi, Ruaha, Gombe, Seronera etc.

Hiyo Rubondo hata Mtanzania wa kawaida hajui kama siyo mwenyeji wa lake zone ndiyo maana nimependekeza kuwa Bombardier ndiyo ingehusika kuwatangazia Wa Tanzania kwanza kwa vile yenyewe trip zake ni za humu humu Tanzania.
 
Wewe acha kudanganya umma, hata geografia ya darasa la sita hujui ? Chukua atlas hata ya nyuma uangalie, kisiwa cha Rubondo toka ukoloni hadi leo kiko Wilaya ya Geita, Tarafa ya Bugando. Tangu lini kikawa Kagera? Kama hujui kitu ni bora unyamaze.
Kipo mkoa wa Kagera kwa sasa na kipo njiani kuhamishiwa mkoa wa Geita.
 
Back
Top Bottom