Ifahamu Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo

Huwa wanasema publicity (Kiki) ni publicity tu. Negative or positive.

Maana ya kuiita hiyo ndege Rubondo ni kuipa Kiki Rubondo.

Na ukiangalia Rubondo tayari ishapata Kiki za kutosha.

Hongereni mamlaka husika. Sasa Rubondo ni moja ya mbuga maarufu nchini na nje ya nchi.

Hongereni sana.
 
Ukiwa mwanza nenda capripoint karibu na Hotel tilapia kuna ofisi ndogo za tanapa!

Au kama wewe ni unaogopa maji marefu panda basi za bukoba kisha shukia mganza

Kutoka hapo mganza mpaka rubondo ni karibu sana yaani ndani ya dakika 15 mpaka 20 utakuwa ndani ya hifadhi
Asante sana mkuu, nafikiri hii ya Mganza inanifaa.
Vipi hapo Mganza ni centre kubwa - yaani kuna malazi, totoz, bata nini - au lazima nikienda nilale Rubondo?
 
Punguza jaziba mkuu ndege zinazokuja wataipatia hiyo mbuga ya Ruaha unayoitaka Wewe na Hadi kuja kukamilika kwa lengo la ununuzi wa ndege 2022 kelele zenu zote na majina yote mnayotaka yawe yatakuwa ko tusipende kuendesha Mambo kwa mihemuko na hasira Mambo mazuri hayahitaji haraka.
Mkuu samahani, darasa la 7 ulimaliza?
 
Asante sana mkuu, nafikiri hii ya Mganza inanifaa.
Vipi hapo Mganza ni centre kubwa - yaani kuna malazi, totoz, bata nini - au lazima nikienda nilale Rubondo?
Mkuu mganza ni senta kubwa tu pia malazi yapo na lodge za hapo ni kuanzia 7000 mpaka 15000tu

Pia kuhusu totoz wapo wengi hasa wazinza wasubi na wanyarwanda!!

So kama wewe ni mtaalam wa kuyamwaga huku ndio mahali pake
 
Back
Top Bottom