If your phone number ends with

If your phone number ends with

Hii nayo story/hadithi tu kama nyingine za enzi hizi, uongo mwingi, ukweli kiduchu.

Any way umeongeza idadi ya post na watu wametoa comments including myself.
 
Mh! Kwangu mie kweli, imeishia na 9

Mkuu Queen
Hivi kweli, ni kweli unakiri kwa nafsi ya kweli au huna dhati ya kweli? haya basi kweli yako na iwe kweli yenye ushuhuda wa kweli na jina lako liwe binti kweli.
 
mimi ninazo nne nazote zinaishia namba tofauti tofauti..
 
ninazo namba za simu kumi na zote zinaishia na 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9, sasa hapo utaniambiaje???!!!

0- You are a trouble maker
1- You are very kind
2- You are very funny
3- You are intelligent
4- You are sincere
5- You are careless
6- You are neat
7- You are handsome/ beautiful
8- You are straight forward
9- You are shy
 
Back
Top Bottom