Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,451
Afu shem, mbona mie kamatesha kangu kakinibusu shavuni huwa nasisimka sana? kuna uchawi kwenye hizi kisses?Please do.... We si ulisema upo busy leo.....lol
Afu shem, mbona mie kamatesha kangu kakinibusu shavuni huwa nasisimka sana? kuna uchawi kwenye hizi kisses?Please do.... We si ulisema upo busy leo.....lol
Hahaha!!! Ukipima heartbeats za mtu wakati huo unaweza kufikiri mtu ana ugonjwa wa moyondetichia, namaanisha ukipata ile kiss yenyewe ile, unajiskia kama umeota mabawa and u start flying. hujaona The finest anasema hapo magoti ndembendembele@
Dah!!! Bebii kama ndio hivyo basi that kiss was not worth itlong my last kiss time 5 yrs now...... hata sikumbuki tena test
Kati ya hayo mengi hebu tumegee machache basiPower of kiss
AshaDii asante sana
Imenikumbusha na inaendelea kunikumbusha mengi. Na always huwa ni great moment sana when you do this to one you love most
Oh! I am touched Rejao... Pole kwa the MISSING part.... Kuna "blow up Kiss"
na "smaking sounded kiss" waweza send.. alafu pia kuna Kiss ya kutumia
mitandao... You tell her properly how you imagine kissing her... Hio kiss
ukiifanya properly itafika worry not!!
Afu shem, mbona mie kamatesha kangu kakinibusu shavuni huwa nasisimka sana? kuna uchawi kwenye hizi kisses?
Sinziga nimependa saana what you have wrote.... naona kidogo sijakupata which KISS especially umelenga... for from what I know ni kua kama the Kiss in question ni ile ya Maeneo ya uficho hiyo yawezekana kabisa... Mie nazungumzia kuweza Kiss mpaka mwafika kileleni bila kugusa eneo husika (na kiss nyingine tu ambazo hukufanya hu-feel the intensive emotions)... Kama wapenzi m-ki kiss bila kugusa kabisa eneo husika na mkafika kileleni it means you have intensive feelings for each other.... But aside from all that...
Take note nimesema kua kuna exceptions... for a guy kufika kileleni hata kama hayupo in love ni rahisi (check hapo kwenye Kissing and it's applicability) for nimetaja kua kwa kaka/baba zetu wao ni rahisi waweza fanya hivo hata via Lust....
Alafu ongeza bana... kwanini uishie hapo?? lol
Power of kiss
AshaDii asante sana
Imenikumbusha na inaendelea kunikumbusha mengi. Na always huwa ni great moment sana when you do this to one you love most
duhhh
mi napenda kiss ya kipande hii
(smooth, tender, sweet, warm, Gentle, soft,) etc..
mmmhh
Anyway sante ADI kama kawa ...
Very nice thread ... 🙂
Hivi Asha D, sorry......................
sie wengine ambao pasion yetu imejaa zaidi tunapokiss kwenye biolojia za wengine inakuwaje.................
Au hatuusiki katika mjadala huu?
OMG! Hii sredi muda si mrefu itahamishiwa jukwaa la Maria Roza lol. Hiyo kiss bana, we iache tu manake inapagawisha na inahitaji ujasiri......Hii ya watani zetu Mungu aliamua kuiumba kwa makusudi. Ina sura mbayaaaa lakini hapohapo tunakomaa! Sura mbaya, utamu mtamu! (Shem ADI kuna mtu kaniibia pasiwedi yangu, usimwambie soulmate wangu)Hivi Asha D, sorry......................
sie wengine ambao pasion yetu imejaa zaidi tunapokiss kwenye biolojia za wengine inakuwaje.................
Au hatuusiki katika mjadala huu?
Naona hilo linahitaji thread inayojitegemea. Ngoja ntaifanyia utafiti then ntawaletea matokeo yake nipate kauzoefu zaidi toka kwenu lolMatesha is a beauty and a darling.... naona kusisimka kunachanganyikana na mambo mengi yalogubikwa na Penzi la baba kwa mtotoe hasa wa kike...
Majuzi hapahapa MMU nilisoma article moja ya inayoonyesha research jinsi wanawake wanavyopunguza sana nguvu za kiume kwa wanaume. Ndani ya ile article ilisemwa kauli za wadada baada ya tendo, kwamba labda hajaridhika, au kwanini siku hizi hunifikishi tofauti na zamani etc, saikoloji inaharibu mentality ya mwanaume. Hii sredi ilienda mbali zaidi iliposema maujanja/ubunifu wa mwanamke ukiwa zero...just kusubiri mwanaume asimike kwa nguvu zake mwenyewe inachangia sana!!
Back to topic...Is it true that power of kiss can stimulate intensively emotions za mtu?? Especially in Private space?? Without any kind of touching sensitive part?? kwa maisha haya ya stress??
AshaDii ujue huku bongo sasa hivi kila kona utakuta mabango.."Daktari bingwa toka Sumbawanga/kaswenswe wa nguvu za kiume". Sasa kwa mazingira haya how can kiss only stimulate emotions, anyway may be am wrong, ngoja kwanza nipate mawazo yako hapa.
OMG! Hii sredi muda si mrefu itahamishiwa jukwaa la Maria Roza lol. Hiyo kiss bana, we iache tu manake inapagawisha na inahitaji ujasiri......Hii ya watani zetu Mungu aliamua kuiumba kwa makusudi. Ina sura mbayaaaa lakini hapohapo tunakomaa! Sura mbaya, utamu mtamu! (Shem ADI kuna mtu kaniibia pasiwedi yangu, usimwambie soulmate wangu)
Naona hilo linahitaji thread inayojitegemea. Ngoja ntaifanyia utafiti then ntawaletea matokeo yake nipate kauzoefu zaidi toka kwenu lol
Sikumbuki kama nlishawahi kukuangusha......Shem taratibu.... hapa utamfanya Mod aone palipo jificha...lol... Kule kwa wakubwa wataweka Graphics amazo sometimes it is so hard to watch!
Alafu you do know the fact kua i remember everything eeeh?? Hio ya Matesha nitakung'ang'ania kama Ruba hadi ulete matokeo....lol
Nimenasa kwenye jam hapa Magomeni Mapipa. Ngoja nimtwangie bana...... na akisema am a good kisser, she will be kissed mpaka akome!NO! Not yet anyway....lol.. Ulisema unaenda kwa mama Matesha.... hio feedbak vipi??