If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

Kwa mjibu wa Nec kila mgombea/chama ana haki ya kuweka wakala wake kuanzia ngazi ya kituo cha kupigia kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo kwa ngazi ya kituo,kata na jimboni tu.

Lakini ni kosa la jinai kwa ngazi ya taifa kwa wakala wa chama/mgombea kushuhudia matokeo yake toka majimboni yakijumlishwa na kutangazwa?

Tume inataka kuaminiwa wakati yenyewe haiamini baadhi ya vyama/wakala?

that is the problem

but we have a very BIG problem here!!

which is this swali I asked

Hivi raia wa TZ ukikamatwa nchi kama chinna au N.Koreea unafanya talling ya matokeo ya uchaguzi MKUU kwa moja ya vyama vya siasa kwenye nchi zao, unadhani adhabuyake inaweza kuwa ni nini??
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Kama walihack system ya NEC tungetarajia wakafunguliwa mashtaka na kuhukumiwa kwa kupitia sheria zilizopo.je hilo limefanyika?
 
Idea yangu ni hii
Kila kata kuna wakala, anachukua hesabu ya pale anamtumia wa jimboni na tallying center 2 au 3
Kila jimbo kuna wakala, anachukua jumla ya alizutumiwa analinganisha na matokeo yaliyotangazwa akiridhika anatuma ofisi ya kanda na tallying center zilizopo.
Kila kanda inajumlisha kura zilizotumwa inatuma makao makuu na tallying center.

Kila tallying center inajitegemea na inatumiwa matokeo toka kila kata baadae wanalinganisha matokeo waliyopata kama yanafanana then yanatumwa makao makuu.

Kwa model hii haihitaji watu wengi kwasababu tallying center moja inaweza kuwa na watu watatu hadi watano.

Kama kuna tatizo lolote linagundulika mapema na kuanza kufanyiwa kazi hapo hapo sio hadi lifike makao makuu, mfano matokeo ya Unguja majimbo mawili (uzini na jingine) yalifanana na kutangazwa tar 27 lakini hakuna hatua zilizochukuliwa siku hiyo hiyo.

Na kuhusu gharama, zoezi la muhimu ni kuhesabu kura na kutangaza matokeo kwasababu ndio linaamua mshindi kwahiyo lilihitaji kugharamikiwa ipasavyo. Mawakala wote wawezeshwe vizuri kuondoa uwezekano wa kununuliwa

Unachokisema kiongozi ni sahihi kama chaguzi zetu zisingekuwa na figisu figisu.

Kukusanya matokeo kwa mfumo huo una-widen gap ya risk...maana adui atakuwa na watu wachache wa kuwa compromise. Kwa mfano kiongozi wa jimbo akiwa compromised huwezi kupata taarifa sahihi kwenye ofisi ya taifa.

Ni sahihi kupata matokeo kutoka kwenye vituo kwa haraka inavyowezekana unabakiza kazi ya kulinganisha na taarifa kutoka kwa maofisa wako wa jimbo au kanda.

Kwa hiyo sio gharama peke yake inayoamua mfumo wa kutumia...
 
Binafsi mimi sina uhakika na hii independent tallying. Ni kweli kama kila upande ungekua haupindishi mambo..basi tally zote zita match. Lakini ukweli ni kwamba kwenye siasa kila upande una maslahi yake. CCM wana maslahi..UKAWA wana maslahi...hadi chaumma wana maslahi! Uwezekano ni mkubwa kila mmoja atapika data kuonyeshe yeye ni mshindi. Kitu ambacho ningetamani ni NEC kushirikisha vyama kwenye kila hatua..kuruhusu vyama kukagua huo mfumo wa IT na ikiwezekana mawakala wawepo kwenye kila stage. Hili halikuzingatiwa uchaguzi huu.
 
Matokeo yalikuwa yanatolewa polepole tangu Jumatatu mpaka Alhamisi. Sielewi kwa nini Chadema walikuwa wanashindwa kusema kuwa idadi ya kura kutoka jimbo fulani siyo sawa. Badala yake walikaa kimya kabisa. Mpaka sasa hawajasema kinagaubaga ni hesabu za majimbo gani ndiyo zenye matatizo. Ni malalamiko ya jumla tu.

Kinachosikika sasa ni kuomba hizo hesabu zifanywe "manually"bila kutumia computer. Nimesikia vilevile kuwa kuna software maalumu ya kufanya majumuisho ya kura na Chadema walileta mpaka wataalamu wao kutoka nje. Huku ni kutaka kudanganya tu wasioelewa. Kweli unahitaji software maalumu au wataalamu hadi wa kutoka nje kufanya majumuisho ya kura? Majumuisho yote yangeweza kufanywa na spreadsheet kama Excel kirahisi tu. Na nadhani nndiyo iliyokuwa inatumika, hata na gazeti la Mwananchi.

Kuhusu kupigika usisahau kuwa Watanzania wengi wamepigika, siyo wafuasi wa Chadema tu.

Mkuu, ulikuwa wapi usisikie kwamba mfumo wa kuhesabu wa UKAWA ulivamiwa tarehe 26 na vitu vyote kuchukuliwa na vijana kuwekwa jela? Lengo la ma CCM kufanya hivi lilikuwa ni kuslow down response ya UKAWA.
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Mkuu unajua honestly I fail to understand u, hueleweki uko wapi, unasimamia nini, nikipitia mabandiko baada ya uchaguzi, napata shaka sana na ulichokiandika leo..
Mwanaume msimami
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

Mkuu unahangaika na uyu punda ambae hajui kitu, kazi kucopy kupaste maandishi aliyetumwa na mabosi wake pale lumumba
 
Black: The main core objective of your thread
red: rude local elites, could have sound better
blue:justify your involvement in the my above red.

Ua a genious brother, great analysis, Tanzania ina watu wanaoweza ku read btn the lines, siku nyingine usiumbue wanafeki kiasi hiki, MSAFARA WA MAMBA...!
 
Matokeo yalikuwa yanatolewa polepole tangu Jumatatu mpaka Alhamisi. Sielewi kwa nini Chadema walikuwa wanashindwa kusema kuwa idadi ya kura kutoka jimbo fulani siyo sawa. Badala yake walikaa kimya kabisa. Mpaka sasa hawajasema kinagaubaga ni hesabu za majimbo gani ndiyo zenye matatizo. Ni malalamiko ya jumla tu.

Kinachosikika sasa ni kuomba hizo hesabu zifanywe "manually"bila kutumia computer. Nimesikia vilevile kuwa kuna software maalumu ya kufanya majumuisho ya kura na Chadema walileta mpaka wataalamu wao kutoka nje. Huku ni kutaka kudanganya tu wasioelewa. Kweli unahitaji software maalumu au wataalamu hadi wa kutoka nje kufanya majumuisho ya kura? Majumuisho yote yangeweza kufanywa na spreadsheet kama Excel kirahisi tu. Na nadhani nndiyo iliyokuwa inatumika, hata na gazeti la Mwananchi.

Kuhusu kupigika usisahau kuwa Watanzania wengi wamepigika, siyo wafuasi wa Chadema tu.

Upinzani wa nchi hii ni bogus tu hauna plan wala strategy; hawakuwa wamejipanga kupata idadi ya kura zao na nadhani sehemu nyingi hawakuwa na wakala na sehemu zingine hawakuwa na wagombea wa ubunge wa kuweza kuwarushia data. Kura za raisi hazikuwa na figisu huko majimboni na ingekuwa rahisi kabisa mgombea ubunge kuzirusha haraka na zikaweza kujumlishwa kura za majimbo 256 ndani ya usiku mmoja na siku ya pili kila kitu kikawa wazi; tatizo hawa watu ni wababaishaji ndio mana hawawezi kusema kura zimeibiwa ngapi na wapi na wapi
 
Mkuu, ulikuwa wapi usisikie kwamba mfumo wa kuhesabu wa UKAWA ulivamiwa tarehe 26 na vitu vyote kuchukuliwa na vijana kuwekwa jela? Lengo la ma CCM kufanya hivi lilikuwa ni kuslow down response ya UKAWA.

Huo ulikuwa ujinga wao wenyewe kuwalundika ma IT wote hao sehemu moja za karibu kwani watu wanao interact kwa computer ni lazima wakae sehem moja? kwanza kundi kubwa sehem moja ina atract attention na minong'ono; kwa wakomavu wa siasa wanatakiwa kulielewa hilo na kuliepuka sio kuchukulia kila jambo for granted wakati tabia ya adui na mienendo yake mnaijua
 
You can say that lakini hawa walikuwa kwenye sehemu tatu tofauti. Mbili kinondoni na moja Kijitonyama. Ili kuweza kutally kwa haraka kura zinazotoka kwenye majimbo zaidi ya 260 unahitaji coordinated effort ya watu kadhaa waliokaa pamoja pia..ni kama ofisi moja mjini inapokuwa na watu 300 kwenye floor moja wakati wote wanatumia komputa na wako kwenye network.

Ni somo tumejifunza lakini - si wengi wetu tulitegemea CCM wawe savages namna hii.
 
Wajipange bwana mimi nikiwa na kadi yangu ya ATM nadraw pesa popote Tanzania na hata ulimwenguni na pc yangu inahamisha mpunga kwenda popote itakuwa vijikura vinavyoakisi transactions vijimilioni vinavyochakatwa kwa sekunde? kwani hawakujua EL kule dodoma alikatwa na safari hii lazima angekatwa? kufanya kampeni za gharama halafu usiwe na mipango madhubuti kuhusu kura ni sawa na kujenga nyumba ya gharama na kuweka ndani vitu vya thamani lakini ukaamua kulala mlango wazi; na mbona tulishawatahadharisha humu kuhusu hayo? hao jamaa ni vilaza tu na EL ni mtu asiyeshaurika anashupaza sana shingo akifikiri mafuriko ndio kila kitu amevuna alichopanda
 
Okay, tufanye kulikuwa na center za kuhesabia mikoa yote Tanzania na UKAWA wakamaliza kuhesabu na kupata jumla yao terehe 26 jioni - unadhani NEC ndio wangekubaliana na hesabu ya CHADEMA na kumpa urais Lowassa? either way hili lingeendelea kuwa tatizo kama ilivyo huko Zanzibar hii leo. Cha msingi ni kuwa wamoja na tujadiliane jinsi ya kubadilisha haya.
 
Huo ulikuwa ujinga wao wenyewe kuwalundika ma IT wote hao sehemu moja za karibu kwani watu wanao interact kwa computer ni lazima wakae sehem moja? kwanza kundi kubwa sehem moja ina atract attention na minong'ono; kwa wakomavu wa siasa wanatakiwa kulielewa hilo na kuliepuka sio kuchukulia kila jambo for granted wakati tabia ya adui na mienendo yake mnaijua

Nakuunga mkono mkuu..mm nilijua kuwa jamaa wanajua fika njama za ccm kwa nn hawakwenda kuwaficha monduli au arusha ambako wangekuwa wanalindwa na red brigade?..wametuangusha sana wakuu wetu..that issue was so important for us!ona sasa vijana wapo ndani na kuna sintomfaham kama kweli waliimaliza kazi ya tallying kabla ya kukamata!its so sad wakuu!!!
 
Ngumu kumeza lakini shida nikuwa mmoja kalelewa Lumumba mwingine kakimbia malezi ya Lumumba kwa hiyo anajina special mtoto mtukutu siyo?

Opinion yangu ni kuwa wote wawili hao hawafai kuongoza nchi.

Hata Lowassa kalelewa Unguja.
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Unajua ulichoandika wewe qumer??
 
Mkuu, ulikuwa wapi usisikie kwamba mfumo wa kuhesabu wa UKAWA ulivamiwa tarehe 26 na vitu vyote kuchukuliwa na vijana kuwekwa jela? Lengo la ma CCM kufanya hivi lilikuwa ni kuslow down response ya UKAWA.

Kwa nini hamtaji majina ya majimbo ambayo hesabu zilizopokelewa NEC siyo sawa? Hivi kujumlisha hesabu za 264 kunahitaji mitambo na wataalamu? Mbona zile hesabu za gazeti la Mwanamchi zimefanana 100% na zile za NEC?
 
Back
Top Bottom