If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

Kwani vituo vya kupigia kura vilikuwa vingapi?

Kutokana na hesabu ya vituo ata hao 160 bado ni ndogo sana kupata matokeo kwa muda mfupi.

Kazi ya mawakala ni nini?

Watu waliokamatwa wote wamakamatiwa Dar, sasa vituo vingine vya mikoani inakuaje?
Kazi ya kujumlisha kura sio kubwa kama unavyofikiri, mawakala waliosimamia kujumlisha kura majimboni ndio waliokuwa wanatakiwa kuripoti sehemu moja kwa majumuisho wakishajiridhisha na usahihi wa kura.

Kama CDM wangekuwa makini wangeweka vituo vya kujumlishia kura kwenye maeneo tofauti nchi nzima.
 
.... Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, ....
Black: The main core objective of your thread
red: rude local elites, could have sounded better
blue:justify your involvement in the my above red.
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Na ili kuthibitisha kua tatizo sio wale vijana wa CDM bali tatizo ni lile zoezi la kujumlisha kura, hata maofisa wa kituo cha LHRC waliokua nao wakijumlisha kura wamekamatwa na computer zao kuchukuliwa tu pia. Yaani kifupi ni kua serikali inataka woooote tumsikilize Lubuva na kumuamini yeye, asiwepo mwengine wa kufanya verification from voting centres, bali afanye verification from data hizohizo za lubuva.

Wanajua watamuapisha kinguvu Magufuli na sheria inasema hakuna atakaehoji na kama tukiendelea kubisha basi ile kauli ya WM - Pinda itahusika. Wanajua sisi Watanzania ni wasahaulifu na wasamehefu kua soon tutasahau na tutasamehe. Wameamua liwalo na liwe sababu sisi tu wapole. Hata Zanzibar wanajua tu watasamehe na kusahau tu na maisha yatasonga kama kawa.

Ila la msingi naloamini ni kua bado CDM wanazo zile karatasi, wanaweza kujifungia hata Kinondoni wakafanya hizo tallying wakatoa majibu yao. Wayachapishe hata kwenye tovuti ya chama au waombe (wanunue) hata kurasa kwenye magazeti na wao watoe mradi watanzania wajue what happened. Kuendelea kulalamika kibubu bubu hakusaidii
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

saver=server
Ila umeongea vyema mkuu, mimi ni IT expert. Upo on point
 
Pasco you are great.But who for God's sake among these power hungry folks will listen to this incredible piece of advice.I believe it will just go with the wind.I pity Tanzanians.
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Pasco nakukubali saaaaaana. Upo open na ze whole process of tallying.

Nje ya topic ;
Pasco una ideas nyingi na nzuri saana, unatakiwa kuandika vitabu, there is a lot of money to be made.

Nitaku-mp tuongee fursa.
 
Kazi ya mawakala ni nini?
Wakala yeye anahusika kura za kituo chake tu. Hausiki na kujumlisha kura za vituo vingine.
Watu waliokamatwa wote wamakamatiwa Dar, sasa vituo vingine vya mikoani inakuaje?
You are so yestarday! Kwani kupata mahesabu ya kura kituo a, f , r, n,.... nilazima uwe ilo jimbo au mkoa?

Kazi ya kujumlisha kura sio kubwa kama unavyofikiri, mawakala waliosimamia kujumlisha kura majimboni ndio waliokuwa wanatakiwa kuripoti sehemu moja kwa majumuisho wakishajiridhisha na usahihi wa kura.
Dhumuni mojawapo la kuwa na Tallying centre ni kupata jumla ya kura kwa muda mfupi. Kusubiri mawakala watoke vijijini lingechukuwa muda na gharama na inabidi uwalipie usafiri, chakula na malazi ni gharama zisizo na ulazima.

Kama CDM wangekuwa makini wangeweka vituo vya kujumlishia kura kwenye maeneo tofauti nchi nzima.
Hayo ya maeneo tofauti nani wangepataje jumla yake?! Ingebidi kuwa na Tallying Centre nyingine ya kupata jumla ya hayo maeneo tofauti. Sio cost effective, ingechukuwa muda na gharama.
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Pasco kwa maoni yangu Lowassa hana ubavu wakufanya lolote, kokote na popote. This is why?

Siasa za wakati huu (Africa na Ulimwengunu kote) ni tofauti sana na siasa za miaka ile. Huku kwetu Africa utakubaliana hata zile enzi za coup detat hazipo tena. Kuna mhuni mmoja kule Burkina Faso alijaribu kupindua serikali na wewe ni shahidi umeona walichomfanya. Sasa what is my point? Point yangu ni kuwa sasa hivi kila political figure ana obligation ya kuensure kuwa wafuasi wake hawaleti madahara yoyote kutokana na maneno au matamshi yao wanayosema. Lowassa si mjinga kuomba amani. Anajua kabisa akisema neno moja baya ambalo linaweza likaleta maafa basi ICC inamsubiri. Mifano ya hivi karibuni tumeyaona huko Kenya na sakata lao la ICC. No political leader in this century would make reckless statement. Kwa Lowassa sasa hivi anachunga sana anachosema ndio maana ansoma prepared speeches.

Pili kwa mtizamo wangu culture yetu ni tofauti sana na watu wa nchi nyingine. Sisi ni watu wakukubali na kumove on. Ndio maana hata sasa hivi watu wachache (wapinzani) wamekubali matokeo na maisha yanaendelea. Angalia mood kwenye mitaa utaona hili. Watanzania si watu wa kungangania vitu na hiyo ndio utamaduni wetu. The fact kuwa sijui Lowassa anashabikiwa na watu wa hali ya chini sana na kuwa kuna thin line between kuishi kwao na kufa ni tathmini isiyokuwa na mashiko. Universally hakuna mtu anayependa kufa?so usiaddress issue kirahisi rahisi hivyo just kupprove a point. Otherwise naheshimu sana mawazo yako.
 
Pasco that's the way it is. Watu wako kimya na watulivu baada ya tamko la Lowasa lakini watabaki hivyo kwa muda gani? Let's wait and see
Mshana usidanganye. Lowassa anaobligation zaidi ya wafuasi wake kukeep the peace. Hivi unadhani mahakama za ICC zilianzishwa kwa ajili gani? Unadhani Joshua Sang wakenya yuko ICC kwasababu yeye alikuwa waziri au polisi? All politician bear a great responsibility kuensure kuwa matamshi yao hayaleti rabsha. Lowassa analijua hili, wewe pia najua unalijua hili. Ila tatizo lako YOU ARE A SOUR LOOSER. Nyie ndio mnataka fujo zitokee lakini zianzishwe na watu wengine wakati wewe ndugu yangu Mshana unakunywa bia yako baridiiiiiii
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Wewe nawe Kichefuchefu tu.

Muwekezaji huko anawaza kama watanzania wamejumlisha idadi ya kura za jimbo moja kwa siku tatu je wakija wekeza mabilion ya fedha itakuaje si watapata hasara au ndio watatupiga kama wanavyoendelea kutupiga
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

Na kwenye hili ndiyo kosa moja kubwa ya CDM toka uchaguzi wa 2010 -kelele za kuibwa haitoshi waonyesheni Umma wa 6.000.000 kuwa tumeibiwa kura kadhaa na fomu ndiyo hizi kinyume na hivyo kaeni kimya.

Hatuhitaji kutoana damu-lakini hata kususa ni hataua ya kuonyesha kutokukubaliana huku tukipigania kuwashawishi wale ambao zao hazikuibiwa maana wapo!

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Hili kati mambo yote ndiyo inayostahili kupiganiwa kisheria na kwa nguvu kubwa.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Lumumba wamekwisha ziba milango ya ufahamu.Ukiona kiongozi anafikia hatua ya kuwaita watu wazima Malofa alafu ukategemea leo kumkaribisha lofa kuzungumizia masilahi ya Taifa huo utakuwa muujiza na si mkono wa Binadamu.

Katika hali ya kawaida Mkuu hata kama hawatapigania haki hiyo leo miaka mitano ya Serikali ya Magufuli kazi iliyombele ni nguma kuliko JK anayemaliza muda wake.

Mgombea aliyepatikana kwa Fitina ndani ya Chama chake vs Mshindi aliyepatikana kwa Goli la Mkono/Kamati za Ufundi kwa mujibu wa lalamiko za UKAWA -unaweza kungamua nini kitaendelea.

Hayo ya maeneo tofauti nani wangepataje jumla yake?! Ingebidi kuwa na Tallying Centre nyingine ya kupata jumla ya hayo maeneo tofauti. Sio cost effective, ingechukuwa muda na gharama.

Idea yangu ni hii
Kila kata kuna wakala, anachukua hesabu ya pale anamtumia wa jimboni na tallying center 2 au 3
Kila jimbo kuna wakala, anachukua jumla ya alizutumiwa analinganisha na matokeo yaliyotangazwa akiridhika anatuma ofisi ya kanda na tallying center zilizopo.
Kila kanda inajumlisha kura zilizotumwa inatuma makao makuu na tallying center.

Kila tallying center inajitegemea na inatumiwa matokeo toka kila kata baadae wanalinganisha matokeo waliyopata kama yanafanana then yanatumwa makao makuu.

Kwa model hii haihitaji watu wengi kwasababu tallying center moja inaweza kuwa na watu watatu hadi watano.

Kama kuna tatizo lolote linagundulika mapema na kuanza kufanyiwa kazi hapo hapo sio hadi lifike makao makuu, mfano matokeo ya Unguja majimbo mawili (uzini na jingine) yalifanana na kutangazwa tar 27 lakini hakuna hatua zilizochukuliwa siku hiyo hiyo.

Na kuhusu gharama, zoezi la muhimu ni kuhesabu kura na kutangaza matokeo kwasababu ndio linaamua mshindi kwahiyo lilihitaji kugharamikiwa ipasavyo. Mawakala wote wawezeshwe vizuri kuondoa uwezekano wa kununuliwa
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

Hivi raia wa TZ ukikamatwa nchi kama chinna au N.Koreea unafanya talling ya matokeo ya uchaguzi MKUU kwa moja ya vyama vya siasa kwenye nchi zao, unadhani adhabuyake inaweza kuwa ni nini??
 
Kwa mjibu wa Nec kila mgombea/chama ana haki ya kuweka wakala wake kuanzia ngazi ya kituo cha kupigia kura,kuhesabu kura na kutangaza matokeo kwa ngazi ya kituo,kata na jimboni tu.

Lakini ni kosa la jinai kwa ngazi ya taifa kwa wakala wa chama/mgombea kushuhudia matokeo yake toka majimboni yakijumlishwa na kutangazwa?

Tume inataka kuaminiwa wakati yenyewe haiamini baadhi ya vyama/wakala?
 
Binafsi nadhani Lowassa alipoomba kuonana na viongozi wa Tume angepewa fursa hiyo ili ukweli uwekwe hadharani. Kwa NEC kukataa kumsikiliza kunatufanya baadhi yetu tuamini kwamba Lowassa kapunguziwa kura. Pia ukamataji wa vifaa vya vijana wa UKAWA na Tume ya Haki za Binadamu vilivyokuwa vinatumika kufuatilia matokeo ya uchaguzi uliofanywa na vyombo vya usalama vinatia shaka mno.
 
Back
Top Bottom