If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

Usijali subiri vyombo vya sheria vilivyowadaka na mahakama zitatoa jibu.Tulia tu
 
Hata Magufuli anajua kuwa amepita kwa kuchakachua (siyo yeye wala Lubuva bali ni CCM); Tunachohitaji ili kuleta hitimisho (closure) ni tamko toka Cahdema na Ukawa.
Viongozi waseme kitu!!!!!
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

What I believe ni kwamba kila chombo cha usimamizi kimewekwa ili kuzuia mkanganyiko ambao utaleta kutokuelewana kwenye Jamii. Na ndio mana tuna mahakama pia, Hao mawakala nani anajua kama na wao walikua mamluki tu sio UKAWA damu?.
Swala la ubovu au makosa yanayofanywa na chombo husika, hakuna taasisi ambayo ni 100% efficient as long as ni wanadamu wanaiongoza. Upinzani ungejitahidi kuingiza wabunge wengi ili kuhimiza kasi ya wanachokiita "Mabadiliko" kwa sababu hayo matatizo wanayolalamikia sio kwamba hawakua wakiyajua. Swali la msingi: Hao mliowapokea kutoka kwa CCM dhamira yao ilikua nini hasa kwa Upinzani?.
 
Hiki ulichosema sicho lengo la huu uzi. Hili swali lako unaloliita ni la msingi kama vip lianzishie uzi wake
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Tahadhari ipi mkuu, tujuze...
 
unachotaka kukifanya Pasco ni kuhalalisha kitendo cha "kujitungia mtihani na kujisahihishia mwenyewe" ili tuweze kupima ufahamu wako, lazima kuwe na mtunzi wa mtihani, msimamizi na msaishaji, Nec ndipo wanapoingia hapo katika maswala ya Uchaguzi, bila hivyo kila mtu atajitangaza mshindi na hakutakuwepo haja ya kufanya uchaguzi kama kila mshiriki ni mshindi na ana mamlaka ya kujitangaza mshindi.
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.
tumia akili,unadhani waliowatuma polisi wapuuzi,wanajua kabisa wakisema kosa la kweli watakosa hoja
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

raided kama tahadhari?
Ndio mahali Tanzania imefika,polisi wana raid kama tahadhari?
Ni kwa kiwango gani hii raided kama tahadhari inaweza kufanyika,hii raided kama tahadhari ni maarufu sana kwenye nchi za kidictator.Na sheria za mkononi kama hizi zinaita sheria za mkononi kutoka upande wa pili.Kwa mfano,kwa hichi ulichoandika mimi sioni kama unastahili kuwa hai,lakini naheshimu sheria,naumia,naumia sana lakini namezea na maji navumilia,msichukulie uvumilivu wetu kama alama ya ujinga,sisi sio wajinga haki ya Mungu nakuhakikishia.

Na ukitaka kujua sio wajinga,subiri Lowasa atoe Tamko!
 
Aaaah nani Pasco. Wala sihangaiki. Huyu ndio Mbowe wa pili. Leo Lowassa mwizi kesho Lowassa si Mwizi. Kuchangia hoja za huyu ni kupoteza muda. Rais wetu tumeshampata. Lowassa bado ana mapesa kapige deki zizi la ng'ombe ulipwe. Our leader is Mr President Dr. John P Magufuli. Gossips Monduli byebye
 
Wanabodi,

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Pasco

Hivi tallying inahitaji watu zaidi ya 160?

Chadema imejigawa kwenye kanda, naamini kila kanda mtu mmoja tu kwa kutumia MS excel anaweza fanya tallying.
Kuna kitu kimejificha na naamini wahusika wanajua zaidi.
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.
Siyo human trafficking tena? Hahahaaaa.....!
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Ni dhahiri kinachotokea sasa kwa utawala wa CCM 'kuviagiza' vyombo vyake vya dola kuwavamia wapinzani na ofisi za watendaji wa haki za binadamu na kuwatia nguvuni na kuondoka na vifaa vyao vya kazi kama vile computers na vitu vingine kwa madai kuwa ni makosa kufanya majumuisho ya kura ni kile ninachoweza kukiita kama guilty consciousness.

Nasema hivyo kwa kuwa sioni ni kwa vipi shughuli za aina hiyo zilizokuwa zinafanywa na vijana wa Makamba pale Mlimani City zionekana ni halali kwa vyombo vya dola na shughuli hizo hizo zilipofanywa na vijana wa Ukawa na wale Watendaji wa Haki za Binadamu kwa kufanya majumuisho tu ya kura wanazozipokea kutoka vituoni kutokana na karatasi zilizobandikwa nje ya vituo ionekane ni haramu kupita kiasi!

Lazima kipo kitu nyuma ya pazia na ushahidi wa mazingira unaonyesha kuwa upo uwezekano mkubwa kuwa takwimu zilizokuwa zikitolewa na Tume zikawa na walakini.
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

Kawaambie na polisi kuwa wale muliowakamata wafuasi wa chadema kuwa wakasome IT!!
 
Hivi tallying inahitaji watu zaidi ya 160?

Chadema imejigawa kwenye kanda, naamini kila kanda mtu mmoja tu kwa kutumia MS excel anaweza fanya tallying.
Kuna kitu kimejificha na naamini wahusika wanajua zaidi.

kwa hio hacking inahitaji watu 160?
 
Kwani vituo vya kupigia kura vilikuwa vingapi?

Kutokana na hesabu ya vituo ata hao 160 bado ni ndogo sana kupata matokeo kwa muda mfupi.
 
kwa hio hacking inahitaji watu 160?

Wapi nimezungumzia hacking?

Kuwa na watu 160 kwenye mji mmoja kwa kazi moja tu ni udhaifu wa kimkakati, siizungumzii CCM hapa naizungumzia UKAWA.
Kipindi hiki ndio umuhimu wa viongozi wa kikanda ungeonekana maana wangesimamia mambo yote yanayohusu maeneo yao, kama kura zinaibiwa hii inafanyika vituoni na waliokaribu na maeneo hayo ndio watu waliotakiwa kuhakikisha makosa hayatokei
 
Back
Top Bottom