Pasco
Unauliza na kushangaa"If No Dirty Tricks, What is Wrong With Independent Tallying For Verification?!."
Haya maswali au mshangao yanaibuka na kuibuliwa kwa sababu tangia chaguzi zinazoshirikisha vyama vingi zilipoanza 1995 NEC haijaweza kujijengea uaminifu na uadilifu kwa umma, kwa wananchi , kwa vyama vya upinzani katika kutekeleza majukumu yake. Vyama vya upinzani na wananchi wanatilia mashaka utendaji na utekelezaji wa majukumu ya NEC. NEC inasifiwa na CCM tu kwa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
Sio siri kuwa NEC inaibeba CCM.
Suluhishi ni kuwa na Tume huru ya Uchaguzi na huwezi kupata au Kuunda Tume huru ya Uchaguzi kwa kutumia Katiba isiyokidhi mfumo wa ushindani wa vyama vingi, Katiba ya 1977 illiyotiwa viraka.
Sasa kama Tanzania inataka kuendelea na amani na utulivu kama baada ya uchaguzi huu itaendelea kuwa hivyo haina tena ujanja wa kuchelesha kuandaa Katiba ya wananchi. Uvumilivu na woga vina ukomo. Wapumbavu na malofa wakichoka upumbavu na ulofa wao amani na utulivu vitaota mbawa.