Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,388
Chadema walikuwa na nafasi ya kwenda mahakamani kuzuia tume isiendelee kutangaza matokeo kwa sababu ya injury ambayo they were likely to suffer; jibu tulilopewa tuliouliza wakati ule ni kuwa "sheria inakataza". Hadi hivi sasa sijajua ni sheria gani inakataza chama kuzuia matokeo mahakamani kabla hayajatangazwa.
Chadema walikuwa na nafasi ya kwenda mahakamani kuzuia tume isiendelee kutangaza matokeo kwa sababu ya injury ambayo they were likely to suffer; jibu tulilopewa tuliouliza wakati ule ni kuwa "sheria inakataza". Hadi hivi sasa sijajua ni sheria gani inakataza chama kuzuia matokeo mahakamani kabla hayajatangazwa.
Kuchunguza si kuhoji? Mahakama inapodai ushahidi na kuwahoji mashahidi si wanafanya uchunguzi wa haki iko wapi?
Tatizo la Katiba yetu ndiyo hilo. Hii ni katiba ya chama kimoja iliyowekwa viraka. Nadhani kipengere hiki kililenga uchaguzi wa chama kimoja ambapo kweli pasingeweza kutokea upinzani kutoka ndani ya hicho chama. Au haikuangalia uwezekano wa chama tawala kushindwa au uwezekano wa Tume iliyochaguliwa na rais kufanya uhuni na kumuweka mtu yeyote wamtakaye kwa sababu zake.
Hii ni kama vile hali tuliyokuwa nayo kuwa chama kimoja kinaweza kuwa sehemu ya serikali na kuwa chama pinzani ndani ya nchi hiyo hiyo!
Amandla.....
Acid (13th December 2010), Ama (Yesterday), Anfaal (Yesterday), Balantanda (Yesterday), Ivuga (Yesterday), JokaKuu (Yesterday), Kasheshe (Yesterday), Kibunango (13th December 2010), kim jong ii (Yesterday), Mdondoaji (Yesterday), MKUNGA (Yesterday), msomi_wa_zamani (Yesterday), Mtanganyika (13th December 2010), Mtemakuni (Yesterday), Mwanamageuko (Yesterday), myao wa tunduru (Yesterday), Ng'azagala (Yesterday), Ntemi Kazwile (Yesterday), Nyumbu- (Yesterday), Nyunyu (Yesterday), Quinine (Yesterday), Rev. Kishoka (Yesterday), Rugemeleza (Yesterday), The Good (Yesterday), Waberoya (Yesterday), Zakumi (Yesterday), ZeMarcopolo (13th December 2010)
kwani mtu akiongea pumba/upupu huruhusiwi kumgongea thanks? kwenye sheria za JF si jui kama ipo.Ina maana hawa chochote atakachoandika Mwanakijiji wao ni kuunga mkono na kumwaga Thanks! Jamani wakati mwingine huyu jamaa humwaga upupu vile vile. Nahamasika Kikwete alikuwa sahihi 70 % Hufata mkumbo.
kwani mtu akiongea pumba/upupu huruhusiwi kumgongea thanks? kwenye sheria za JF si jui kama ipo.
Kwa tafsiri zangu Thanks ni kukubaliana na hoja! Ila unaweza pongeza pumba ya mchangiaji.....sijui aisee
Acid sijatukana ila nimesema ukweli tu. Sasa kama ukweli huwa unabadilika na kuwa matusi kumradhiyamekua hayo tena? matusi kabisa au???