Ina maana alikuwa easy kwa utani πππ ila kuna watu wako serious hawatakagi mazoea. Hao ndio wa kuwa nao makini.Hayati Mzee Moi alikuwa mkali sana,ila kuna lijamaa lilikuwa likimwigiza sana,alikuwa anacheka sana jamaa alivyokuwa anamuigiza...
Huyo dogo ni zaidi ya boya. Nilivyoiona ile video aliyoifanya nilishangaa sana.Mwache aendelee kukaa rumande mpaka akili itakapomkaa sawa. Mtu kipaji hana ana kazi ya kujifanya Mockingbird tu.
Yeye kila tukio analigeuza mzaha ili afurahishe vi slay queen vinavyo mfollow huko insta.
Mimi binafsi wala simuonei wivu, ila naona alichofanya ni upuuzi. Aendelee kupata malipo ya upuuzi alioufanya.Idadi ya watu wanaosapoti mtu kua rumande kisa picha kuchekwa is very alarming it's like kuna kikao ambacho sikuhudhuria na tulikubaliana kua hakuna kuchekana.
Sasa nashindwa kuelewa. Ni ile wivu wetu wa wabongo kua jamaa ana hao slay queen kukuzidi au ni hicho kikao ndiyo kinamhukumu huyu jamaa.
Kwa kec hp tena??Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.
Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa? Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu
View attachment 1459884
Tauche kuangalia suala hili kwa kuangalia watu, taungalie dhana.Ni kweli na ningesikitika iwapo ingekuwa imemkuta Masoud Kipanya but sio kwa huyo dogo anaejiona mjanja kwa kufanya upuuzi mtandaoni na kujiona ati ni msanii wa Comedy.
Magufuli sio Billnass!!!
Ni ujinga na umasikini tu.Ile picha kila mtu aliyeiona alikuwa akiicheka kimyakimya, chumbani kwake. Idriss went too far ukichukulia pia alishaingia matatani kabla.
Japo anaweza asifungwe kwa kuwa watashindwa kusema wanamshtaki kwa kosa gani haswa, ila watamtesa sana na huenda wakamharibia hata deals zake nyingine
Huyu Dogo ataitoa kimaso maso sanaa ya ucheshi Tanzania. Anachokipitia kinaweza kuchukuliwa kama chagizo la kulitizama upya swala na Sheria ya mtandaoni na au matumizi ya picha ya nambari uno.Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.
Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa? Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu
View attachment 1459884
Ni ujinga na umasikini tu.
Comedians wa Marekani kila wiki wanamkong'ota Trump wanavyotaka.Na hakuna anayefungwa kwa ujinga wa kumdhalilisha rais.
Yani huku comedians wasipomkong'ota rais, huyo rais watu watahoji kama ni rais kweli au ni robot. Ataonekana hawezi kazi, kashindwa kutoa ajira kwa comedians.
Itaonekana comedians hawajamkubali kwamba ni rais, wamemsusia.
Tena White House ya Marekani huwa inapanga siku moja maalum inaitwa "White House Correpondents Dinner". Inakuwa bonge la party, wanaalikwa waandishi wa habari wa kila aina, wanaalikwa celebrities wa kila aina. Anakuwepo comedian mmoja anakuwa kama MC.
Anamnanga rais vibaya vibaya. Mpaka rais naye anajitupia vijembe yeye mwenyewe.Watu wanacheka, kuanzia rais mpaka waandishi wa habari.
Na nchi nzima tunaangalia kwenye TV, live. Watu wanaishi kwa uhuru wa kujua kwamba, rais naye ni mtu tu. Si Mungu mtu.
Hawa watu wanajua ku take it easy. Rais si Mungu, ni mtu tu naye.
Kitendo cha comedians kupata cha kumzodoa rais ni sifa ya rais kuweza kutengeneza ajira.
Sasa Magufuli ana sifa hii ya kuweza kutengeneza ajira kwa vijana, vijana wanajiajiri kwa mgongo wa Magufuli, wanafungwa!
Wanaonewa tu.
Uhuru wa kujieleza ni haki ya msingi ya kikatiba Tanzania.
Bahati mbaya sana Tanzania na Marekani kwenye issues za freedom of speech/expression na mambo mengine mengi tu hatupo sawa. Sisi sio comedians tu, hata ile mihimili mingine (Bunge na Mahakama) inapokea order kutoka kwa Jiwe. Jiwe akimwambia Waziri wa Afya vua mask, anavua haraka etc etc. Comedians wetu wakidhani wapo USA wataumia. It is sad but ndio reality kwa sasaComedians wa Marekani kila wiki wanamkong'ota Trump wanavyotaka.
Atajijua mwenyewe!
Nimeelezea hapo juu tatizo la kutenganisha dhana na watu.Hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa tu!
Ila, inasikitisha na kushangaza kuona watu ambao pengine mtu ungedhani wana uelewa flani hivi, wakiunga mkono uminywaji wa civil liberties, ambao upo dhahiri kabisa.
Wengine wanaunga mkono udhalimu huo kwa sababu tu hawampendi huyo Idris, au kwa sababu eti wanaona si mchekeshaji mzuri.
Mambo ambayo ni irrelevant kabisa.
Awe mchekeshaji mzuri au mbaya, awe bishoo au msela, au awe chochote au vyovyote vile, hayo hayahusiki kabisa.
Safari ya Tanzania ni ndefu sana na nachelea kusema kuwa Watanzania wenyewe ndo kikwazo....
Bahati mbaya sana Tanzania na Marekani kwenye issues za freedom of speech/expression na mambo mengine mengi tu hatupo sawa. Sisi sio comedians tu, hata ile mihimili mingine (Bunge na Mahakama) inapokea order kutoka kwa Jiwe. Jiwe akimwambia Waziri wa Afya vua mask, anavua haraka etc etc. Comedians wetu wakidhani wapo USA wataumia. It is sad but ndio reality kwa sasa
Kuna trick hua Jpm anaitumia kukwepa baadhi ya maswali kuyatolea majibu ya moja kwa moja.Pascal Mayalla alimuuliza Magufuli kuhusu checks and balances, Magufuli akamjibu kwamba kuna mhimili mmoja umechimbiwa chini zaidi.
Umemsikiliza jpm kwa makini hapo?Kuna trick hua Jpm anaitumia kukwepa baadhi ya maswali kuyatolea majibu ya moja kwa moja.
Hamna kitu amejibu kutokea swali la msingi hadi swali dogo!
Anastahili kuheshimiwa kama 'title' yake inavyosema.JPM ni mwanadamu kama wewe kwa nini umwogope mwanadamu mwenzio kiasi hicho? Mungu wa Tanzania? Mbaya sana aisee