Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

Hamna tatizo mkuu, njia nyeupe unaweza ukawa pioneer wa revolution! Anza wewe...
We have a life to lead and families to feed!
Mimi Tanzania niliamua kupiga kura kwa miguu yangu miaka zaidi ya ishirini iliyopita. Kwa hiyo mambo ya revolution Tanzania kushiriki binafsi siwezi. Kwanza itakuwa ni mapinduzi ya kuanzishwa na raia wa kigeni!

Ila, kuchangia mawazo, kama mzawa wa Tanzania, sitajiuzulu kamwe.

Nakumbuka kuna siku moja nilikuwa naongea na cousin wangu mmoja, he is based out of Europe. His dad was in the Magufuli cabinet . Sasa kuna mambo fulani huwa nikitaka clarifications sitafuti magazeti. Natafuta family members wanaweza kuniambia habari ndefu kuliko za magazeti.

Sasa naongea na cousin, namuuliza, mbona Tanzania hatuonekani Davos? What is the issue? Davos kuna deals ndefu pale. Tunaziachiaje kirahisi hivi?

Akaniambia cousin Kiranga, wewe si upo New York City? Maisha yako safi? Una papers zako vizuri? Unafanya kazi zako na biashara zako vizuri? Unazungusha real estate na Dow 30? Una 401K na dental plan?

Nikamwambia majibu ya maswali yako yote ni ndiyo cuz, kwani vipi?

Akaniambia vizuri sana.

Akasema huko Tanzania nakuomba sana usahau habari zake na siasa zake, zitakuumiza kichwa tu. Cha kufanya sanasana tafuta vijana promising wa huko nyumbani katika familia uwaunganishie college waje kusoma waondokane na figisu za mambo ya Bongo.

Nikaishiwa nguvu kujadili naye siasa za Tanzania. Tukaendelea kujadili mambo ya familia tu.

Nikamuona cousin kasoma Ulaya na ughaibuni kwingine tangu Primary, hana connection na Tanzania labda.

Sasa mkuu umenirudisha kulekule.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.

Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa? Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu

View attachment 1459884
Mwanasheria wake ajitafakari inaonekana UDSM alikuwa anaenda kula tu Manzese na kwa Bwashee!! Yaani kosa la kimtandao unamuweka mteja wako siku 7 na bado unajiita mwanasheria?
 
Mimi Tanzania niliamua kupiga kura kwa miguu yangu miaka zaidi ya ishirini iliyopita. Kwa hiyo mambo ya revolution Tanzania kushiriki binafsi siwezi. Kwanza itakuwa ni mapinduzi ya kuanzishwa na raia wa kigeni!

Ila, kuchangia mawazo, kama mzawa wa Tanzania, sitajiuzulu kamwe.

Nakumbuka kuna siku moja nilikuwa naongea na cousin wangu mmoja, he is based out of Europe. His dad was in the Magufuli cabinet . Sasa kuna mambo fulani huwa nikitaka clarifications sitafuti magazeti. Natafuta family members wanaweza kuniambia habari ndefu kuliko za magazeti.

Sasa naongea na cousin, namuuliza, mbona Tanzania hatuonekani Davos? What is the issue?

Akaniambia cousin Kiranga, wewe si upo New York City? Maisha yako safi? Una papers zako vizuri? Unafanya kazi zako na biashara zako vizuri? Unazungusha real estate na Dow 30? Una 401K na dental plan?

Nikamwambia majibu ya maswali yako yote ni ndiyo cuz, kwani vipi?

Akaniambia vizuri sana.

Akasema huko Tanzania nakuomba sana usahau habari zake na siasa zake, zitakuumiza kichwa tu. Cha kufanya sanasana tafuta vijana promising wa huko nyumbani katika familia uwaunganishie college waje kusoma waondokane na figisu za mambo ya Bongo.

Nikaishiwa nguvu kujadili naye siasa za Tanzania. Tukaendelea kujadili mambo ya familia tu.

Nikamuona cousin kasoma Ulaya na ughaibuni kwingine tangu Primary, hana connection na Tanzania labda.

Sasa mkuu umenirudisha kulekule.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Aheri ulishapata picha tu toka kwa closest family members. Thats whats up brother! Yule aliesema ni aheri kuwa mbwa ulaya aliwahi kubezwa ila alitafakari kwa kina sana japo watu hawakumuelewa by that time.

Kama una nafasi vuta watu wako ughaibuni as much as you can as long as una nafasi. Bongo ni zaidi ya pilipili kichaa.
 
Ukae ukijua wakimalizana na huyo wanakuja kukushukia wewe.

Mpaka upige magoti na kukiri Magufuli ni Bwana!

Sent from my typewriter using Tapatalk
Nikuhakikishie tena kwa asilimia mia kuwa haitakaa itokee mimi kufanya kitendo cha kijinga kama hicho .... Mimi ni mtu ninaejitambua! Dua lako halifui dafu hapa!!.
 
Hutafanya kitendo gani?

Be specific please!
 
Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.

Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa? Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu

View attachment 1459884
Nashauri mmshauri akate rufaa kama anadhani ameonewa.
 
Back
Top Bottom